Barabara zetu

Kwa ufisadi ulioota mizizi hata ukilipa kodi kiasi gani hakuna kitakachofanyika. Suala si tu kulipa kodi bali ni uwajibikaji wa hao wanaotunza hazina yetu. Hakuna mantiki kulipa kodi kwa ajili ya kunufaisha wezi wachache.

Mkuu tenganisha personal feelings na wajibu.
Kulipa kodi ni wajibu wa kila mtu, na kila mtanzania.Kwa wenzetu mnaona vimeundwa lakini zote hizi ni kodi, toka kwa msukuma mkokoteni hadi mabenki makubwa.
Tunajua kuwa kumekuwepo wizi wa kutisha ulioongozwa na wanasiasa wetu.Ni wajibu wetu vilevile kuwaadabisha mafisadi.
Mentality ya kutolipa kodi halafu bado kutegemea vikwangua anga na barabara za ghorofa ni kujidanganya.
 
Zanaki,hatuzungumzii road trafiic.Kupishana kwa magari katika single lane!
Single lane barabara ina worn out halaka.May be hujasafiri nchini!
 
Back
Top Bottom