mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 240
Barabara kutoka Tunduru mpaka Songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.Kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.Maeneo yanayosumbua ni kilimasera,Hulia,matemanga,mingwea na dalaja mbili.Jiadhalini abiria.