Barabara ya Dar - Arusha Imefungwa kwa muda

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Habari kutoka mto Wami zinasema kuwa Barabara ya kwenda Arusha imefungwa kwa muda kutokana na Gari la mafuta kupinduka maeneo ya Mto Wami

Source : Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Pwani
 
Kawaida.

Unless Daraja liwe limevunjika ndio itakua breaking News. Pole kwa mwenye mali. Kama raia wema wapo karibu wachomoe waya wa betri na waendelee kuokoa mafuta kwa kuyakinga na kuwauzie wapita na magari wengine ili kuokoa fedha za kigeni zilizotumika kuyaagizia ugaibuni na wao wajipatie riziki.

Ila wavuta sigara hawaruhusiwi wasije wakasababisha mlipoko ikawa noma.
 
we we we ushauri gani huu mzee?
 
kuna ile njia ya Dar kuitia bagamoyo kuelekea msata. Hii ni njia nzuri sana hususan kwa magari madogo. Njia lami kutoka Dar mpaka bagamoyo. ila kutoka bagamoyo ni njia ya vumbi ( sijui kama imetiwa lami siku hizi.) mi nilipita mwaka jana Sept kwenda Tanga
 
inabidi kuwepo na ulinzi wa kutosha si kama unavyojua wabongo, wana njaa kama nini
hivyo nashauri kamanda wa polisi mkoa wa pwani aimalishe ulinzi vinginevyo watu watapigana na watataka wakachote mafuta mpaka kwenye kwenye vijiko
 
Siyo ufumbuzi. Bado utaishia kuvuka Mto Wami.
 
kuna ile njia ya Dar kuitia bagamoyo kuelekea msata. Hii ni njia nzuri sana hususan kwa magari madogo. Njia lami kutoka Dar mpaka bagamoyo. ila kutoka bagamoyo ni njia ya vumbi ( sijui kama imetiwa lami siku hizi.) mi nilipita mwaka jana Sept kwenda Tanga

mkuu barubaru hata upite hiyo bado wami iko mbele ya msata
 
mi nadhani wabuni mpango mbadala wajenge daraja lingine kwa ajili ya malori manake hapo ni mahali muhimu sana vinginevyo hali itakuwa tete kila linapotokea jambo kama hilo, mungu atupe wepesi katika juhudi zetu.aaamin
 
inabidi kuwepo na ulinzi wa kutosha si kama unavyojua wabongo, wana njaa kama nini
hivyo nashauri kamanda wa polisi mkoa wa pwani aimalishe ulinzi vinginevyo watu watapigana na watataka wakachote mafuta mpaka kwenye kwenye vijiko
Ushauri murua mkuu yasije yakatokea kama yaliyotokea Kenya.
 
Back
Top Bottom