ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,210
- 50,942
Wote kwenye maeneo yetu tunahitaji Barabara kulingana na umuhimu wake kuchochea uchumi wa mtu mmja mmja na Taifa Kwa ujumla.
Pamoja na umuhimu huo Kuna Barabara ambazo ni za Muhimu sana Kwa maendelea ya Nchi na watu lakini bahati mbaya sana Serikali ni kama imezitelekeza.
Serikali azipe kipaombele Cha pekee Barabara nitakazozitaja kwenye orodha hapa chini,maana zimekaa kimkakati sana :+
1.Mpanda(Sitalike)-Kibaoni-M/Moto-Muze-Ilemba-Kamsamba/Kilyamatundu-Mlowo.
(Hii inaumganisha Mikoa 3 ya Katavi,Rukwa na Songwe na inapita blonde la Ziwa Rukwa kwenye uzalishaji mkubwa wa mazao).
2.Mpanda-Ugalla-Kaliua-Ulyankulu-Kahama-Geita
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Katavi,Tabora,Shinyanga,Geita na ,itafungua uchumi wa maeneo tajwa ,pia ni njia fupi ya kufika Kanda ya Ziwa kutoka Katavi badala ya Kupitia Sikonge).
3.Iringa-Kilolo-Ifakara-Mahenge-Liwale
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Iringa, Morogoro na Lindi na itafungua na kuunganisha Uchumi wa Mikoa ya Kusini na Kanda ya Ziwa na Kati).
4.Isongole Border-Itumba(Ileje)-Shigamba-Mbalizi-Chang'ombe-Makongolosi-Rungwa-Itigi-Singida/Tabora.
(Hii inaunganisha Mikoa 4 ya Songwe,Mbeya,Tabora na Singida Hadi Malawi Kupitia Mpaka wa Isongole.Hii ni Barabara ya kufungua Uchumi wa Mikoa ya Nyanda za Juu na Kanda ya Ziwa Hadi Malawi).
5.Mpanda-Uvinza-Kanyani(Kasulu).
(Hii ni Barabara Kuu ambayo ni muhimu sana Kwa kuunganisha Nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,DRC Hadi Zambia via Sumbawanga na Tunduma).
6.Tabora-Kahama-Misasi Junction-Mwanza
(Hii inaunganisha Mikoa 3 ya Tabora,Shinyanga na Mwanza Kwa kufungua Uchumi maeneo inakopita)
7.Ifakara-Madeke-Njombe
(Hii inaunganisha na kufungua Uchumi wa Mikoa ya Njombe, Morogoro na Mbeya).
8.Iringa-Ruaha NP
(Hii itafungua Kitovu Cha Utalii wa Kusini)
9.Kolandoto(Shinyanga)-Mhunze-Mwangongo-Lalago-Mwanhuzi-Nkoma Jct-Sibiti River-Oldeani-Karatu.
(Barabara hii inaunganisha Mikoa 4 ya Shinyanga,Simiyu,Singida na Arusha.Hii ni Barabara Shortcut kutoka Mikoa ya Kaskazini na kuunganisha Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi Mwa Tanzania).
10.Njombe-Ludewa-Mbamba Bay.
(Hii itafungua Barabara za mwambao wa Ziwa Nyasa na kuwezesha Uchumi wa Makaa ya mawe na Chuma huko Liganga na Mchuchuma na kuipaisha Bandari ya Mbamba Bay)
11.Chomba(Tzn/MoZ Border)-Nalasi Jct-Azimio Jct-Tunduru-Kwitanda-Liwale-Njinji-Nangurukuru Jct-Kilwa Masoko.
(Hii ni muhimu sana kuifungua Mkoa wa Lindi Kiuchumi na Kuunganisha Tanzania na Msumbiji via Ruvuma Region.
12.Tzn/BRD BP-Mugunzu-Kibondo-Moyowosi GR-Uyowa-Ulyankulu-Tabora.
(Hii inaunganisha Burundi na Tanzania Hadi Dodoma pamoja na Mikoa ya Kigoma,Tabora na Singida).
13.Inyonga(Katavi)-Kapalala-Saza Jct-Galula JCt-Chang'ombe-Mbalizi-Isangati Jct-Kiwira(Tukuyu)
14.Inyonga(Katavi)-Gua-Kapalala-Saza Jct-Makongolosi-Chunya-Mbeya.
15.Inyonga(Katavi)-Ilunde-Kitunda-Rungwa JCT-Itende Camp-Pawaga Jct-Iringa
16.Iringa-Pawaga JCT-Sanze-Heke-Manyoni(Singida).
17.Inyonga(Katavi)-Ilunde-Kitunda-Rungwa Jct-Itende Camp-Sanze-Chidinilo-Bihawana Jct(Dodoma).
18.Sumbawanga-Muze-Njiapanda-Kavuu River-Chingunde-Inyonga.
19.Tabora-Isikizya(Uyui HQ)-Mgumbira-Singida.
20.Singida-Sepuka JCt-Mlandala-Simbo-Puge JCT(Tabora)
21.Igawa-Rujewa-Ubaruku-Madibira-Tungamalenga-Pawaga JCt-Izazi Jct.
22.Inter-Regional Inner Ring Road-1.
Igawa(Mbeya)-Ubaruku-Madibira-Kinanyambo(Mafinga)-Usokani-Kisuse-MlimbaJct(Morogoro)-Madeke-Lupembe-Njombe-Iyayi Jct.
23.Inter-Regional Outer Ring Road-2
Igawa-Ubaruku-Madibira-Tungamalenga-Iringa-Kilolo-Idete-Mlimba Jct-Madeke-Lupembe-Njombe-Iyayi Jct.
Barabara zote mbili (22&23) hizo zinaunganisha Mikoa 10 ya Mbeya-Iringa-Njombe-Morogoro Kama Ring Road.
My Take
-Wizara ya Ujenzi & TanRoads ni Wakati wa kuanza kujenga Barabara chache chache Kimkakati zaidi badala ya kutapacha rasilimali Kwa kujenga km 1-20 Kila mahala Kila Jimbo Kisiasa,hii haileti Tija na inapoteza rasilimali pesa na mda.
-Baadhi ya Barabara sijazitajia ila natambua kwamba Kuna Wakandarasi wanaendelea na kazi.
-Tafadhari Serikali wekeni uzito wa kipekee kwenye Barabara tajwa hapo Juu na ikiwezekana zote zijengwe Kwa Mikataba ya EPC+F Ili kuharakisha utekelezwaji wake.
-Mods ikiwezekana fanyeni kuwa tag Wizara ya Ujenzi.

Serikali itusaidie kuboresha Barabara ya Kaliua hadi Kahama
Mimi natokea Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, Kata ya Kashishi, kero yetu hapa ni barabara ya kutoka Kahama Mkoani Shinyanga kwenda Kaliua Mjini (Tabora) kupita Unlyankuru, Mwamnange na Kashishi. Kwani barabara hii ni muhimu kwetu sisi Wakulima tunaitumia kusafirisha mazao kupeleka kwenye soko...
www.jamiiforums.com