Bar ya kimboka,club ya gineva za buguruni zafungiwa kutoa huduma kwa wateja

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kwenda kujipumzisha siku za weekend na kupoteza muda bar ya kimboka na club ginevva inayokesha mpaka asubuhi zimefungiwa kutokana na

1.wizi wa nje nje uliokuwa ukifanywa na vijana wa kihuni

2.kuongezeka kwa malaya walio kati ya umri miaka 10 mpaka 16

3.wanafunzi wengi wa shule za msingi kuonekana wakifanya biashara eneo hiloo........

Kwa hiyo wateja wote mnashauliwa ..........kwenda eneo la bar ya sewa kwani kuna ulinzi wa kutosha
 
Mbavu zangu weeee, hivi mlishalifanyia upembuzi yakinifu? Na kwamba wananchi wawe na subira suala hili linashughulikiwa? Bunge letu bhana, aaaah kajisemea mtu mmoja kuwa this is another silly season
Serikali yetu ni sikivu sana mkuu. Usihofu, ngoja tuwasiliane na mamlaka husika.
 
Mbavu zangu weeee, hivi mlishalifanyia upembuzi yakinifu? Na kwamba wananchi wawe na subira suala hili linashughulikiwa? Bunge letu bhana, aaaah kajisemea mtu mmoja kuwa this is another silly season

Kutokana na kwamba sehemu ile ni muhimu sana ktk pato la taifa (uuzaji wa pombe), serikali yetu makini haiwezi kuachia mapato hayo yapotee. Serikali kupitia wizara husika inafanya mazungumzo na nchi marafiki na tayari Urusi imeonesha nia kubwa ktk hili. Hivo tunawaomba wananchi muwe wavumilivu kwa muda huu na tunawahakikishia swala hili litapata ufumbuzi ndani ya wiki moja.
 
Swali la nyongeza; kwakua Bar zile zinaletea taifa kipato kikubwa sana kutokana na aina za biashara zinazoendelea pale, na kwakua wateja wake ni pamoja na sisi waheshimiwa Wabunge, Je huoni kwamba sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kuunda tume kwa ajili ya kuangalia utekelezaji wa Jambo hili? na je huoni sasa kuwa ni wakati muafaka kabisa kuliingiza suala hili kama mojawapo ya vipaumbele vyetu ili kuonyesha kuwa tunatekeleza ILANI ya Chama kwa Wananchi?? nashukuru sana

mkuu tujulishe hizo bidhaa zimehamia wapi tuzifuate huko?

hayo mahitaji ni muhimu sana, na watumiaji wake ni wengi ila wengine ndio vilee hujifanya hawatumii kumbe wao ndio watumiaji wakubwa zaidi...!!! :eek2:
 
Swali la nyongeza; kwakua Bar zile zinaletea taifa kipato kikubwa sana kutokana na aina za biashara zinazoendelea pale, na kwakua wateja wake ni pamoja na sisi waheshimiwa Wabunge, Je huoni kwamba sasa ni wakati sahihi kabisa wa Kuunda tume kwa ajili ya kuangalia utekelezaji wa Jambo hili? na je huoni sasa kuwa ni wakati muafaka kabisa kuliingiza suala hili kama mojawapo ya vipaumbele vyetu ili kuonyesha kuwa tunatekeleza ILANI ya Chama kwa Wananchi?? nashukuru sana

Nashukuru mheshimiwa mbunge kwa swali lako zuri. Swala la kutekeleza ilani kwa vitendo sio ombi ni lazima. Tayari imeundwa tume huru kwa ajili ya kazi hiyo na ili kupanua wigo wa mapato katika sekta hii, tunafanya mazungumzo na ofisi ya bunge ili bidhaa hizo zipatikane hata humu bungeni. Pia tunafanya mawasiliano na wizara ya ujenzi iweke matuta na kufukia mitaro na mashimo yote mbele ya sehemu zote zinazofanya biashara hii ili kuhakikisha wanywaji hawapati ajali kwani kumpoteza mmoja wao ni pigo. Pia tumeiagiza wizara ya uchukuzi iangalie uwezekano wa kupata usafiri kwa watumiaji hawa, hii itatuhakikishia mahudhurio mazuri. Asante mheshimiwa!
 
Nilikua niombe mwongozo ila kwakweli majibu yako yameniridhisha sana, na amini kwa hali hii Wapinzani hawana la kuongeza. ila kwa kuweka kumbukumbu za bunge vizuri kwene hansard zako ni vyema Siri-kali yako na bunge lako tukufu likaongeza kipengele hiki kuwa; Bidhaa zile hazitatozwa VAT ila upande wa Vinywaji uendelee kupanda bei tu.

Eeeee (****taja jina hapa) tuokoe waja wako, maana pale ndiyo sisi walala hoi tulikuwa tunaponea. Buku moja tu mtu umepata starehe na kusahau shida zako. Jolly club tutaweza kwenda kweli sisi walala hoi????????????? Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!.
 
alietoa wazo hili Mungu wa Mbinguni amwongezee baraka ilikuwa ni aibu sana
na naomba niwaeleze hiyo sehemu watu wakubwa wakubwa wamekuwa wakipaki magari yao kwenye parking za mbao kuomba waletewe vijibinti ..nikipita usiku najiulizaga hivi nipo tanzania ama uzinzinia kwa kweli
Rhaha ya milele ampe ee bwana na mwanga wa mbinguni amwangazie aongezewe cheo kwa amani
AMEN
 
Eeeee (****taja jina hapa) tuokoe waja wako, maana pale ndiyo sisi walala hoi tulikuwa tunaponea. Buku moja tu mtu umepata starehe na kusahau shida zako. Jolly club tutaweza kwenda kweli sisi walala hoi????????????? Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!.

Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!.
MPWA WANAGAWA UNGA WA BAKHRESA NINI HUKO MPAKA KUNA NJAAA??
 
Nilikua niombe mwongozo ila kwakweli majibu yako yameniridhisha sana, na amini kwa hali hii Wapinzani hawana la kuongeza. ila kwa kuweka kumbukumbu za bunge vizuri kwene hansard zako ni vyema Siri-kali yako na bunge lako tukufu likaongeza kipengele hiki kuwa; Bidhaa zile hazitatozwa VAT ila upande wa Vinywaji uendelee kupanda bei tu.

Kwa vile unaonesha una uzalendo sana na taifa, nakuteua rasmi kuwa mjumbe wa kamati ya kuratibu swala hili. Labda nikukumbuse kuwa Hansard zetu haziandikwi kwa mkono hivo kila tunalojadili liko safely documented.
 
Back
Top Bottom