Nionavyo mimi kwa jiji la Arusha mamlaka kulazimisha shughuli za bar na nights clubs mziki mwisho saa 6 usiku ni aina nyingine ya kuzorotesha uchumi na kudidimiza social life ya wakazi wa Arusha. Tourist city kama Arusha haipaswi kuwa na sheria za hovyo kama hizi.
Polisi wanao reinforce katazo hili nao ni rushwa tupu!! Mamlaka zinakosea wananchi.. Entertainment industry na social night life ya watu at stake for no valid reasons.
Polisi wanao reinforce katazo hili nao ni rushwa tupu!! Mamlaka zinakosea wananchi.. Entertainment industry na social night life ya watu at stake for no valid reasons.