Bar code

[Ongea na huyu , anafanya kwa hao watoa barcode pale Upanga 0779 620 116 au 071-907-0982[/QUOTE]

Hi Shark, naona huyu yuko Dar, vipi kwa tulioko Arusha kuna ambaye una contacts zake? Na mie nilitamani kwenye stationery yangu niweze kuona kama inawezekana kuweka system ya bidhaa zote kuwa coded.
 
Hi Shark, naona huyu yuko Dar, vip:i kwa tulioko Arusha kuna ambaye una contacts zake? Na mie nilitamani kwenye stationery yangu niweze kuona kama inawezekana kuweka system ya bidhaa zote kuwa coded.

Watoaji wa Barcode kwa Tanzania ni hao tu (GS1) peke yake, cheki nae tu, labda wanao huo utaratibu kwa watu wa mikoani pia.
 
Mpaka mwaka jana nilikuwa natoa huduma ya GS1 Barcode kuanzia allocation ya Global Trade Identification Number (GTIN) mpaka origination ya Barcode. Baada ya ujio wa GS1-Tz nimeachana na Hizo allocations za GS1 na nimekaimisha barcodes za UPC-UCC, EAN, Universal Containers Shipping Codes, na Asset Managent Identification Services. Ukiwa unahitaji la codes tofauti na zitolewazo na GS1 Global basi naweza kukuunganisha.
 
Mkuu naomba contacts zako.

Hi Shark and Kisusi

Nashukuru kwa contacts, nitawasiliana na wahusika ili nione wanavyoweza kunisaidia kupata huduma hii.

Be blessed.
 
Back
Top Bottom