Bao moja hoi

Kama mdau Lutalo alivyosema yeye akienda bao Moja Hoi,na watu wamemshauri bao moja linatosha kabisa,
lakini kuna my friend wangu alinipa kero ya Mpenzi wake ,wakati wanafanya mapenzi anamuhesabia mshkaji kabisa anapush 1,2,3, ya 4 jamaa kashamaliza zamani ajitahidi sana anaenda ya 5 na akimaliza analala HOI aamki tena,Jamaa mwanzoni alikuwa kimya lakini miezi michache iliyopita kamtolea uvivu kamwambia Condom ndio inamfanya asiweze kufanya sana eti kuwa inambana. Sister kuona ivyo kamwambia hawezi kufanya bila Condom kutokana na Hali halisi ya Ukimwi na kupata Mimba zisizotarajiwa,
sasa hivi Uhusiano wao uko juu ya mawe sababu hiyo.

wakapime HIV na kama majibu ni (-) wapate sex education halafu wapige nyama nyama!
 
Mengi yamesemwa; Hao wapenziwakae na kujadili hilo walione kuwa ni tatizo na kwa kusaidiana watalimaliza sio suala la mtu mmoja peke yake
 
Sishauri waache kutumia condom kama ni mpenzi tu,jamaa atumie delay spray zinauzwa pharmacy zote angalau atapiga dakika 10-15 na kwakuwa anavaa condom zinaweza ongezeka.Watu wengi condom zinawachelewesha sasa huyu asisingizie condom ana premature ejaculation.
 
si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
We una uhakika au unaongea ongea tu hapa. Mi huwa napiga goli nne kama mchezo tu. And guess what I knw how 2 make luv and yeah I also knw how to f**k.
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni


Kaka sikushauri utafute dawa ya mabao kibao, ukioa hayo mabao utapiga utakavyo kwani hutatumia ndomu that time ila kwa sasa hicho kimoja kinatosha ili kuepusha maambukizo ya maradhi kama ukimwi na magonjwa ya zinaa.
 
Hahahaha...I could be a one minute man but I guarantee to give you the best minute you've ever had in your life....lol



Long and frequent sex dries up the vagina. I have first hand experience of this. Hiyo kesho yake mwanamke akienda kukojoa sehemu sehemu kunawaka kama fireworks
Mkuu unaniangusha kabisa hapa. Yaani hiyo xp yako ndiyo unataka kuitumia ku-generalize!!!!!!!!! Kuna mademu kibao tu wanapenda sana long and frequent sex na wanaenjoy na wala hawalalamiki kuwaka moto au sijui maumivu.
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni


Kunywa kiroba.
 
Sishauri waache kutumia condom kama ni mpenzi tu,jamaa atumie delay spray zinauzwa pharmacy zote angalau atapiga dakika 10-15 na kwakuwa anavaa condom zinaweza ongezeka.Watu wengi condom zinawachelewesha sasa huyu asisingizie condom ana premature ejaculation.
We toto Triple D inabidi nikutafute maana inaonekana kwenye haya mambo ya malavi davi uko juu aisee. (Ni-PM basi tuongee vizuri.)
 
pole sana inabidi amuone Dr hii sio kawaida 1.2.3.4.5 . ................................
 
pole sana inabidi amuone Dr hii sio kawaida 1.2.3.4.5 . ................................

Yap, jamaa yawezekana ana matatizo. Ila pia kuna mambo mawili hapa.
1.jamaa huwa anapewa mzigo kwa mara chache i.e 2 or 3 per 3months.so huwa anakamia sana kuusikilizia utamu.
2.jamaa amechelewa maturity na kuujua utamu wa mzigo,so ni kiumbe dhaifu ikiona utamu.
Ni hayo 2 waungwana.
 
Jiamini kuwa unaweza hata bila hayo matatu yanayokuweka roho jujuuu. Otherwise kuchamba kwingi..............
 
Maisha ya mahusiano kama yana endeshwa kwa story za ijiweni huwa yanasumbua sana. Imagine sasa unataka kuwahi kufa kwasababu vijiweni kuna story zisizothibitishwa za kupiga goli nyingi!
Kitu kingine ni vizuri kuongeza physical fitness yako maana inasaidia kuwa na nguvu za ziada za kupanda mpaka kilele cha mlima wa kilimanjaro.
 
hizi issue za kwenda mabao matatu...ni UONGO...unless huyo unayekutana naye HAMFANYI MARA KWA MARA...unakutana naye once in a while...labda!
ila kama mkeo/mpenzi wako mnakutana 'regularly'...kwenda bao moja ni NORMAL,usisikilize stori za vijiweni ndugu,cha muhimu ni kuimprove pafomansi yako,,,hata kama ni moja liwe more fulfiling....
 
Karanga ni dawa mmoja wapo. Ukila tu unaweza washwa na hamu kwa saana na nguvu inakuwepo,waweza ishia mabao nne kama hali ikiruhusu.

Pili supu na maji ya kutosha ya kunywa,usipokunywa maji ya kutosha mwili unakuwa mdhaifu,lakini ukinywa maji mengi ya kutosha mwili unakuwa una nguvu.

Tatu,Ukipumzisha mwili,mara nyingi asubuhi n9 muda mzuri kucheza game na jioni kama umepumzika vizuri.

Nne,Ondoa stress za kimaisha,jipe uhuru ubongo wako.

KINGA MUHIMU LAKINI...
 
Back
Top Bottom