Banki tano zote zimeniambia sikopesheki japo nina asset kama dhamana

TANZANIA HATUNA TAASISI YA BONDS KAMA ULAYA NDIO MAANA INAKUWA SHIDA./
•HII NI FURSA TATIZO INATAKA HEAVY CAPITAL 500BIL./
KWA ULAYA MTU MWENYE ASSET NA HATI AMBAYO IPO VERIFIED HACHUKUI ZAIDI YA NUSU SAA KUPATA FEDHA 25% YA THAMANI YA ASSET VERIFIED WITH Q/S OF A BONDS INSITUTIONS.
•RAIS WETU USITUPE PESA KAMA ZILE ZA JK HAPANA TUTENGENEZEE MFUMO HUU.
 
Mkuu kwanza nikupongeza kwa kuchukua step kubwa kwenda benk kuomba mkopo kwani ni wachache sana wenye huo ujasiri.

Pili usikasirike kwa kutopewa mkopo in your first attempt kwani umejifunza kitu kikubwa kuliko unavyodhani, wengi tumepitia njia hiyo wala usikate tamaa.

Unapokopa Bank, dhamana sio kitu pekee kinachokupa uhalali wa kupata mkopo, Bank wanaangalia historia ya biashara na mzunguko wa fedha katika biashara yako(Cash flow) na jinsi gani mzunguko huo utawathibitishia uwezo wako wa kurejesha mkopo.

Mfano mfanyakazi anapewa mkopo kirahisi kwa sababu bank inauhakika kila mwisho wa mwezi mfanyakazi ana mshahara hivyo ana uhakika wa kurejesha mkopo kila mwezi kwa mudo wote wa mkopo ukiachilia mbali risky za kifo ambazo zipo covered na insurance.

Mfano mwingine ni Mfanyabiasha aliye na Biashara tayari anakopesheka kirahisi kwasababu bank inaangalia historia ya biashara yake na mzunguko wa fedha kwenye hio biashara kwa muda fulani na kujiridhisha uwezo wa biashara hio kurejesha huo mkopo on monthly basis.

Bank hunapata wakati mgumu kukopesha biashara mpya kwasababu hawana historia ya hio biashara,hawana taarifa ya mzunguko wa fedha wa hio biashara na hawana ukakika kama hio biashara itaweza kusimama na hata ikisimama hawana uhakika kama itaendelea kusimama kwa muda wote mpaka mkopo wote urejeshwe.

Ushauri tu Kama biashara ni kilimo itabidi utafute njia nyingine ya kupata mtaji na ufanye kilimo chako kisasa huku ukirekodi vizuri mlolongo mzima wa biashara yako. Ikiwa na histotia nzuri ya uhakika especially ukiwa na potential buyers wa uhakika wa mazao yako unaweza rudi tena benki this time well prepared with all financial statements with you.

All the Best Mkuu katika kujifunza na Kuelekea mafaniko.
 
Asante sana mkuu Franz na wengne wenye constructive ideas kama hzi,kwel nimejifunza mengi sana nadhan sasa nachukua step nyingne,,but pia niombe tujadili njia nyingne za kuweza kupata mtaji
 
Angalia uwezekano wa kujiunga na Saccos ili upate mikopo midogo midogo ya kuanzia biashara yako. Baada ya mtaji kuongezeka na kuwepo kwa uhakika wa mapato unaweza kuzirudia benki kwa mkopo mkubwa. Wakati huo utakuwa pia na historia ya kibiashara inayokubalika.
 
Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:

1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA

Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..

Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.

2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Equity mkuu ndo imekua godfather siku hz
 
Asante sana mkuu Franz na wengne wenye constructive ideas kama hzi,kwel nimejifunza mengi sana nadhan sasa nachukua step nyingne,,but pia niombe tujadili njia nyingne za kuweza kupata mtaji

Ili upate mtaji kwa hali yetu hapa Tanzania kunaoption kadhaa.

Kwanza kabla ya mtaji ujiridhishe na aina ya kilimo unachotaka kukifanya , Gharama ya kulima mpaka mavuno, na zaidi ujiridhishe utamuuzia nani na wakati gani na risk zote along the way. Msisitizo zaidi kwenye kuuza maana hapo ndo watu wengi wanapokosea analima vizuri wakati wa kuvuna ndo anataharuki hana potential buyer anaishia kupigwa na madalali .Taarifa hizi uzipate field kwa wakulima na kwa wanunuzi husika.

Baada ya kujiridhishisha mtaji unaweza pata mtaji kwa namna tofauti

· Partneship (Tafuta mtu au kikundi ambao mtakua na lengo moja na muunganishe nguvu mfanye kwa pamoja kwa kuchanga kiasi fulani cha fedha ndo kiwe kama startup capital yenu. Kama wewe sio muajiriwa, tafuta jamaa wenye ajira ambao wanapenda kulima sema wanakosa muda.Itakua ni win win situation maana wao watachangia zaidi mtaji wewe utachangia zaidi muda na kuwajibika katika usimamizi shambani.)

· Kama una assets kadhaa mfano viwanja, ugawe sehemu ya kiwanja uuze ndo iwe kama startup capital ya mradi wako.

· Ukope Kiasi kwa mtu binafsi ambaye mnaaminiana na kiasi kingine ukiongezee mwenyewe japo njia hii huwezi pata mtaji mkubwa maana ni ngumu sana mtu binafsi kukukopesha kiasi kikubwa.
 
Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:

1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA

Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..

Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.

2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Nenda TIB au TADB, hizo benki zingine hazikopeshi mitaji bali working capital.
 
Ni jambo jema nimejifunza ngoja nianze na mchakato mmojawapo kati ya hayo uliyoshauri.,kiukwel wajasiliamali tuna changamoto kubwa sana!
 
pole sana kaka hii imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa nchi yetu nikiwa kama kijana nataka nilipambanie hili kitaifa kuhakikisha kijana anakopesheka kwa masharti ambayo ni rafiki kwake naamini kama nchi tukiamua tunaweza kuwa na programu maalumu ya kumsaidia kijana kuweza kujiajiri
 
benki za bongo hazifai hata kidogo.pia kama umeajiriwa sekta binafsi ni ngumu sana kupata mkopo.
 
Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:

1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA

Hawa jamaa wanakopesha wafanyakazi wa serikali au mfanyabiashara mwenye biashara tayari inamaana kwa sisi tunaohitaji mtaji kwaajili ya kuanza biashara hatuna nafasi regardless una asset gani ya dhamana..

Mfano mimi nina kiwanja kimepimwa pia kinajengwa lakini wamesema sina nafasi kwakuwa sina biashara inayorun.

2. Barclays wao ndo hawana mpango kabisa wa kukopesha mjasiliamali.
Kiukwel nimehuzunika sana kwa ubaguzi huu nina asset to be used as security bado nafanya kilimo lakin sikopesheki?, dah tufanyaje sisi??
Nenda Access bank tatzo riba yao utajuta..na usiombe ukakwama marejesho hata siku moja utajuta.
 
Ndo shida ya kukimbia shule hyo.....ungekuwa na shule usingeleta huu upuuz hapa
Mkuu unadhan ni peke yako umesoma nchi hii?.acha ujinga wewe usijifanye mjuaji wakat hapo ulipo ni matako tu huna mbele wala nyumba ukute unaishi kwa shemej yako na elim uliyonayo,
 
Back
Top Bottom