Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?

PHP:
Bank M Tanzania Limited has been appointed by Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on its behalf. Through a service branded Money. Mapato, the bank has promised to remit the tax to TRA and issue payment receipts to the customers in five minutes.

The product would enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without any delays and without having to wait in long queues at banks. Bank M Board Chairman Mr Nimrod Mkono said the product was designed specifically for processing of TRA tax payments within five minutes and to remove worries of penalties from the minds of taxpayers.

"We bring to you Money. mapato, with the assurance that payment of taxes will be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes," said Mr Mkono.

Hawa jamaa wa Bank M na hi yo M ya inamaana ya Money wanazotuibia au??

Maana wao kila kitu ni M tu!!!
 
Hebu subirini, Nimeona Jina la Nimrod Mkono huyu sio yule Fisadi aliyekupua mabilioni ya Watanzania? amepewa tena tender nyingine ya kuwakusanyia TRA Kodi?

Sasa TRA wanafanyakazi gani ikiwa kitengo kimeshindwa kukusanya kodi? Wafungue vibaraza vya Kahawa hizo offisi zao kama wameshindwa kukusanya kodi

Mimi sidhani kama issue ni TRA kushindwa kukusanya kodi!!

Ninachokiona hapo ni kwamba wamewapa kazi watu wa Bank M kupokea hizo fedha zinazowekwa na wateja na kuziweka moja kwa moja kwenye akaunti ya TRA ambayo bila shaka yoyote iko hapo Bank M na wahao Bank M wanatumia system ambayo ni rahisi katika ku-deposit hela ya mteja. Kwa maana hiyo kazi ya TRA iko pale pale yaani wao wanakukadria kodi unayopaswa kulipa na unapeleka fedha zao Bank M moja kwa moja. Kama tunakumbuka siku hizi TRA hawapokei fedha taslimu au hundi (wanakujazia fomu zao na wewe unaenda benki), hivyo ni wewe mteja ndo unapaswa kuipeleka hiyo fedha benki.

Kwa hali hiyo hao jamaa wa Bank M wamekuwa wabunifu kwa kuingiza hiyo system ya kodi ambayo inapunguza usumbufu kwa wateja. Shida iliyopo hapo ambayo ndo tunapaswa kuilalamikia ni wigo wa matawi ya hiyo benki!! Maana mimi sjui kama iko na huku mikoani, kwa kifupi sijawahi kuiona kwenye mikoa mingine zaidi ya Dar! Sasa hapo walipa kodi wa mikoa mingine wafanyeje sasa?
 
Bank M Tanzania Limited is among bankers appointed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on the authority’s behalf.

My Take:

As I read the story I'm baffled.. is this a volunteer service on the part of Bank M or is it a charity work? Wao wanapata nini katika mchakato wa transactions hizi za kodi kati ya wateja na TRA.

Heshima kwako mkuu Mwanakijiji,

Hivi unaelewa maana ya neno "among" kwa kiswahili? na huna habari wewe kuwa kabla ya hii taarifa rasmi ya TRA sisi watanzania tunaoishi Tanzania tumekuwa tukitumia Banks tofauti mfano kwa miaka nane nimekuwa nikipeleka payee na sdl returns NBC Bank na napeleka amount ile ile ninayolipia TRA sasa sijui walikuwa wanapata faida gani!

Na sio NBC peke yake hata kulipia ushuru wa magari tunalipia CITI Bank na kodi nyinginezo zinalipwa kwenye bank ya Exim Bank binafsi nimesha lipa motor vehicle license exim bank tawi la Temeke. Katika kumbukumbu yangu sijawahi kulipa pesa taslim wa afisa wa kodi nimekuwa nikitumia baks ambazo zimehaguliwa na mamlaka ya mapato kulipia kodi husika nadhani wanatumia utaratibu huu kwa ajili ya usalama wa pesa/kodi zinazolipwa.
 
Kwa Mwanakijiji na wengine wenye mawazo kama yake.

Kwanza ni vizuri kutofautisha habari za kisiasa na za kibiashara. Hii thread ni ya kibiashara zaidi na sio siasa.

Pili; Suala la kukusanya kosi linasimamiwa na TRA lakini benki ndizo zenye miundombinu ya kukusanyia pesa na sio TRA, ni vizuri ukaelewa hilo pia.

Tatu; Bank M ni moja wapo ya benki zinazotoa huduma za kibenki kwa kufuata taratibu za kisheria kama benki nyingine, hivyo kuleta hisia za kutokuwa na uhalali sio sahihi kabisa ila ni uposhaji wa makusudi au ni kutokujua kwako masuala ya kibenki yanavyokwenda.

Nne; Bank M kama zilivyobenki nyingine imepewa kazi hii kama wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya TRA, na TRA wanakuwa na uwezo wa kujua pesa zilizokusanywa na hivyo hakuna pesa inayoweza kupotea hata kidogo.

Tano; Sio Bank M peke yake inayokusanya kodi kwa niaba ya TRA, zipo benki nyingine pia, hivyo suala la kuanza kulalamika kuwa mbona wao peke yao ndio wamepewa fulsa hii halina msingi wowote.

Mdau Taifa Kwanza kaeleza vizuri pia.

Mwisho; This should be a place of Great Thinkers na sio walalamishi.
 
Mkuu Camaraderie kwani ukilipia kwenye ofisi ya TRA hiyo pesa wataipeleka wapi mwisho wa siku.
Sio kweli kwamba pesa yote hupelekwa kwenye mabenki???

Kutokana na yaliyojiri miaka ya nyuma TRA kwa sasa hawakusanyi kodi kwa fedha taslimu. Malipo yote hupitia benki ndio maana kuna mabenki ndani ya maofisi yao TRA...ndio maana nikasema mabenki yote ni wakala wa TRA kwa mujibu wa sheria. Hii ya Bank M ni kitu tofauti....ni banking product ambayo tunataka ufafanuzi wake....je kuna gharama zozote kwa TRA au mlipa kodi? Maana siamini kama Bank M inafanya msaada...la hasha
 
Kwa Mwanakijiji na wengine wenye mawazo kama yake.

Kwanza ni vizuri kutofautisha habari za kisiasa na za kibiashara. Hii thread ni ya kibiashara zaidi na sio siasa.

Pili; Suala la kukusanya kosi linasimamiwa na TRA lakini benki ndizo zenye miundombinu ya kukusanyia pesa na sio TRA, ni vizuri ukaelewa hilo pia.

Tatu; Bank M ni moja wapo ya benki zinazotoa huduma za kibenki kwa kufuata taratibu za kisheria kama benki nyingine, hivyo kuleta hisia za kutokuwa na uhalali sio sahihi kabisa ila ni uposhaji wa makusudi au ni kutokujua kwako masuala ya kibenki yanavyokwenda.

Nne; Bank M kama zilivyobenki nyingine imepewa kazi hii kama wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya TRA, na TRA wanakuwa na uwezo wa kujua pesa zilizokusanywa na hivyo hakuna pesa inayoweza kupotea hata kidogo.

Tano; Sio Bank M peke yake inayokusanya kodi kwa niaba ya TRA, zipo benki nyingine pia, hivyo suala la kuanza kulalamika kuwa mbona wao peke yao ndio wamepewa fulsa hii halina msingi wowote.

Mdau Taifa Kwanza kaeleza vizuri pia.

Mwisho; This should be a place of Great Thinkers na sio walalamishi.

Ndugu,
Asante kwa maelezo mazuri........Hakuna ulalamishi ni kutaka ufafanuzi ndio maana kila mmoja wetu ni 'great thinker' katika eneo lake......kama wewe ulivyo katika hili.....swali langu kwako mtaalamu ni kwa nini kufanyike uzinduzi wa hii product kama mabenki yote yanapaswa kufanya hivyo?
 
Kutokana na yaliyojiri miaka ya nyuma TRA kwa sasa hawakusanyi kodi kwa fedha taslimu. Malipo yote hupitia benki ndio maana kuna mabenki ndani ya maofisi yao TRA...ndio maana nikasema mabenki yote ni wakala wa TRA kwa mujibu wa sheria. Hii ya Bank M ni kitu tofauti....ni banking product ambayo tunataka ufafanuzi wake....je kuna gharama zozote kwa TRA au mlipa kodi? Maana siamini kama Bank M inafanya msaada...la hasha

Very simple mkuu,

Bank M wamefanya hii service as a product na wameitangaza matokeo yake watu wataitikia wito! watabeba cash kwenda Bank M wakifika pale wataona yanini wabebe cash au cheques wakati wanaweza wakafanya transactions within the Bank? Hapo watapata wateja wapya na ndipo watakapopata faida. Hii ni marketing strategy yao mkuu.
 
Heshima kwako mkuu Mwanakijiji,

Hivi unaelewa maana ya neno "among" kwa kiswahili? na huna habari wewe kuwa kabla ya hii taarifa rasmi ya TRA sisi watanzania tunaoishi Tanzania tumekuwa tukitumia Banks tofauti mfano kwa miaka nane nimekuwa nikipeleka payee na sdl returns NBC Bank na napeleka amount ile ile ninayolipia TRA sasa sijui walikuwa wanapata faida gani!

Na sio NBC peke yake hata kulipia ushuru wa magari tunalipia CITI Bank na kodi nyinginezo zinalipwa kwenye bank ya Exim Bank binafsi nimesha lipa motor vehicle license exim bank tawi la Temeke. Katika kumbukumbu yangu sijawahi kulipa pesa taslim wa afisa wa kodi nimekuwa nikitumia baks ambazo zimehaguliwa na mamlaka ya mapato kulipia kodi husika nadhani wanatumia utaratibu huu kwa ajili ya usalama wa pesa/kodi zinazolipwa.

Shossi,
Benki zinanufaika kwa kupata cash inflows kutokana na makusanyo haya(ni mengi mno kwa mwezi ni mamia ya mabilioni) zinazowasaidia kujiendesha. Ukumbuke kuwa TRA hawachoti pesa hizi bali hukusanya na baadae kuzipeleka BoT nadhani mara moja kwa mwezi. Hivyo benki zinakuwa na pesa za ''kuzunguusha'' hadi hapo marejesho kwenda BoT yanapofanyika. Ni faida amabayo huwezi kuiona katika hali ya kawaida. Mathalani pale Bnki ilipokusanya pesa za TRA dola kwa shilingi ilikuwa 1,500 na wakati wa kupeleka benki kuu ikawa 1,520...ona faida hiyo kwa benki. Imagine kama makusanyo ni 150bn/=(sawa na dola 1m) benki inapata 20/- kwa kila dola(20m/-)
 
Hili ndilo swali ambalo tunalitafutia jibu lake; kwamba kuna faida kwa TRA hilo halina shaka, labda unaweza kukisia ni faida gani zinapatikana kwa Bank M na je zina make sense kwa "Mtanzania"?

@MkamaP, swali lililopo hapa kama hukulielewa ni kujua nature ya hayo makubaliano na hizo taasisi.. kwa mfano, kuna faida gani kwenda kulipia Bank M kulinganisha na kwenda kulipia ofisi ya TRA iliyoko jirani yako? Na nadhani tunapozungumzia "faida" nadhani tunazungumzia pia kama ina make "business sense" kwa sababu unless hizo Benk zinafanya kwa kujitolea bila kutaka kutengeneza faida basi kuna mushkeli mahali.

Binafsi ninachoona kinakosokana kwenye taarifa hizi (sijui kama wenzangu mmekiona) ni details za faida za kibiashara ambazo hizi benki zitapata. Kwa mfano, wanatoza per - transaction, per - amount being transfared au wanatozwa a flat rate na TRA n.k Na kubwa zaidi ni kutaka kujua faida hizo zinazidi kama ingefanywa na TRA yenyewe?

Kwa mfano ningekuliza kwanini TRA haikufanya mipango na Halmashauri ambapo watu wengi huenda kupata huduma mbalimbali na kuweka dirisha la kulipia hizo kodi? Au kuna uwezekano wa mtu kwenda kulipa kodi benki yoyote kwa kuingiza fedha hizo kwenye akaunti ya TRA moja kwa moja a hata kuandika hundi - kama wengi tunavyofanya na IRS hapa US kwa mfano ambapo ukidaiwa kodi unaandika check kwenye Internal Revenue Service na inaenda moja kwa moja.

Kwanini this special arrangement na mabenki? Kuna ugumu gani kwa TRA kila mkoa kuwa na akaunti abmayo mtu anaweza kwenda kulipia mara moja na inajulikana clearing ye Checks nyingi au malipo mengi siku hizi yanafanyika within hours. Why this arrangement?

Unless: TRA inafanya biashara ya aina fulani na haya mabenki - nipe nikupe
TRA imeona hakuna njia nyingine (this will be highly disputable)
TRA haina uwezo wa kukusanya kodi kwa haraka na kwa urahisi - kitu ambacho kitazua mjadala mwingine kabisa wa competence ya uongozi wa TRA.

Hakuna kitu kisicho na faida pamoja na hasara! muhimu na lazima katika kuchagua tool ni pale ambapo faida out weigh hasara kwa mipango ya muda mrefu, mimi sioni kama huku ni kutoa huduma naona kama ni kukusanya kodi kwa niaba ya TRA! ingekuwa huduma basi TRA wange weka account yao katika bendi na mteja angekuwa na kazi ya kuweka katika account ya TRA basi!

Kumbuka hawa wameenda mbali zaidi wamesema ni kitu mahususi na kuwa kuna watu wamepata mafunzo kwa ajili ya hiyo kazi tu! hii inaashiria nini? Benk M kama imefikia hata hatua ya kuwekeza katika rasilimali watu mahususi kwa ajili ya hilo zoezi peke yake ina maana gani kibiashara na kiuchumi! sitaki kuamini kuwa hawana mkataba wowote wa utekelezaji, uwekwe wazi, matatizo ya kodi hayapo katika kukusanya peke yake matatizo zaidi yapo katika vyanzo imara vya kutoa kodi na ukweli katika kufika kiasi kilicho kusanywa.

TRA wawe wazi juu ya makubaliano yao na Bank M, naunaenda kulipa kodi Bank M ukitokea wapi? maana najua kodi lazima upate makadirio sahihi ya kodi yako! sasa utapata makadirio wapi na Bank M ipo wapi? kwanini husilipe hapo unapopewa makadirio au ndio kusema Bank M inampango wakuweka madirisha kila kona! na hasa katika ports zetu? kitu kama fuel levy, imetutesa miaka nenda miaka rudi huku wizi mkubwa ukifanyika nyuma ya pazia kuhusu ujazo halisi wa mafuta kwa kusingizia tempereture changes! Nani atakadiria kodi yangu yangu mafuta iliniende kulipa fedha Bank M, na Je si kuwa TRA wanafanya service mbovu ili hiyo ya Bank M ndio ionekane mbadala na ya kufaa?
 
Ndugu Nyandaigobeko,
Sababu ya wananchi kuiogopa sana serikali yao lakini bila serikali yenyewe kuwaogopa raia wake inatokana na kutokuwepo usawa wa madaraka baina ya serikali na raia wake. Ni suala la mpangilio wa Katiba yetu lililozaa utamaduni-sugu wa viongozi kutopenda kuwajibika kwa wanao waongoza. Na, ingawaje raia angelipenda kuiona Katiba mpya ambapo serikali ingeliwajibika kwake, ipo hatari kwamba tabaka-tawala linaweza lisipende kufanya hivyo (kwa hiyari) kwa kuwa utamaduni huu unalifaa sana tabaka-tawala lenyewe. Aidha, hofu ya kupoteza sifa na utajiri waliojilimbikizia visivyo halali na/au kushtakiwa, ni mambo ambayo huenda yakalifanya tabaka hili kutumia nguvu walizonazo (hasa za kikatiba, kisheria na kifedha) kuendelea kuhodhi madaraka yao. Kadhalika, hii inaweza kueleza kwa nini ufisadi wa kitaasisi unaendelea kama kawaida, licha ya umma kupinga na kulaani vikali vitendo hivi. Mwishoni wananchi watashinda lakini kwa jitihada zaidi.
then things are wrong..because it seems our government doesn't fear the public..the public fears the government!!!!
hapo mkuu ndipo penye tatizo hapa TZ...kwanini serikali hisiwe inajibu na kutekeleza hoja za wananchi mapema? je, sisi kama wananchi tunafanya nini ili kuifanya serikali iwe inajibu na kutekeleza hoja za wananchi mapema?

mkuu majibu ya haya maswali hayategemei nguvu za Chadema..bali yanategemea nguvu zetu sisi wananchi.
Ndio maana nikakwambia niliyokuambia pale mwanzo.

asante.
 
Shossi,
Benki zinanufaika kwa kupata cash inflows kutokana na makusanyo haya(ni mengi mno kwa mwezi ni mamia ya mabilioni) zinazowasaidia kujiendesha. Ukumbuke kuwa TRA hawachoti pesa hizi bali hukusanya na baadae kuzipeleka BoT nadhani mara moja kwa mwezi. Hivyo benki zinakuwa na pesa za ''kuzunguusha'' hadi hapo marejesho kwenda BoT yanapofanyika. Ni faida amabayo huwezi kuiona katika hali ya kawaida. Mathalani pale Bnki ilipokusanya pesa za TRA dola kwa shilingi ilikuwa 1,500 na wakati wa kupeleka benki kuu ikawa 1,520...ona faida hiyo kwa benki. Imagine kama makusanyo ni 150bn/=(sawa na dola 1m) benki inapata 20/- kwa kila dola(20m/-)

Mkuu unachokizungumza ni kweli kabisa ila mleta mada anasema

"Kwanini this special arrangement na mabenki? Kuna ugumu gani kwa TRA kila mkoa kuwa na akaunti abmayo mtu anaweza kwenda kulipia mara moja na inajulikana clearing ye Checks nyingi au malipo mengi siku hizi yanafanyika within hours. Why this arrangement?

Unless: TRA inafanya biashara ya aina fulani na haya mabenki - nipe nikupe
TRA imeona hakuna njia nyingine (this will be highly disputable)
TRA haina uwezo wa kukusanya kodi kwa haraka na kwa urahisi - kitu ambacho kitazua mjadala mwingine kabisa wa competence ya uongozi wa TRA."

Mleta mada anataka TRA waanzishe banks zao kila mkoa anataka wale wanaoishi wilayani kama kule kwetu Tanga mtu atoke Lushoto aende Bank Tanga mjini akalipe kodi angependelea watu watoke masuguru waende ilala city centre kulipa kodi! nadhani wazo lake sio baya na sio zuri.
 
Hili ndilo swali ambalo tunalitafutia jibu lake; kwamba kuna faida kwa TRA hilo halina shaka, labda unaweza kukisia ni faida gani zinapatikana kwa Bank M na je zina make sense kwa "Mtanzania"?

@MkamaP, swali lililopo hapa kama hukulielewa ni kujua nature ya hayo makubaliano na hizo taasisi.. kwa mfano, kuna faida gani kwenda kulipia Bank M kulinganisha na kwenda kulipia ofisi ya TRA iliyoko jirani yako? Na nadhani tunapozungumzia "faida" nadhani tunazungumzia pia kama ina make "business sense" kwa sababu unless hizo Benk zinafanya kwa kujitolea bila kutaka kutengeneza faida basi kuna mushkeli mahali.

Binafsi ninachoona kinakosokana kwenye taarifa hizi (sijui kama wenzangu mmekiona) ni details za faida za kibiashara ambazo hizi benki zitapata. Kwa mfano, wanatoza per - transaction, per - amount being transfared au wanatozwa a flat rate na TRA n.k Na kubwa zaidi ni kutaka kujua faida hizo zinazidi kama ingefanywa na TRA yenyewe?

Kwa mfano ningekuliza kwanini TRA haikufanya mipango na Halmashauri ambapo watu wengi huenda kupata huduma mbalimbali na kuweka dirisha la kulipia hizo kodi? Au kuna uwezekano wa mtu kwenda kulipa kodi benki yoyote kwa kuingiza fedha hizo kwenye akaunti ya TRA moja kwa moja a hata kuandika hundi - kama wengi tunavyofanya na IRS hapa US kwa mfano ambapo ukidaiwa kodi unaandika check kwenye Internal Revenue Service na inaenda moja kwa moja.

Kwanini this special arrangement na mabenki? Kuna ugumu gani kwa TRA kila mkoa kuwa na akaunti abmayo mtu anaweza kwenda kulipia mara moja na inajulikana clearing ye Checks nyingi au malipo mengi siku hizi yanafanyika within hours. Why this arrangement?

Unless: TRA inafanya biashara ya aina fulani na haya mabenki - nipe nikupe
TRA imeona hakuna njia nyingine (this will be highly disputable)
TRA haina uwezo wa kukusanya kodi kwa haraka na kwa urahisi - kitu ambacho kitazua mjadala mwingine kabisa wa competence ya uongozi wa TRA.

FYI, sio kila mkoa TRA wana accont ila account ya TRA unaweza kuiacess kwenye bank yoyote ile unapokuwa Tanzania kama vile mimi nikiwa mtwara nataka kumtumia mtu wa mwanza pesa aweza kumtumbukizia pesa kwenye account yake na transation zikaonekana time ile ile kwani wewe huko unapoishi utaratibu upo vipi?
 
......hapa la msingi ni kupata Mkataba wa kibiashara kati ya TRA na Bank M kuhusu hii kazi ya ukusanyaji mapato through hio service MONEY.MAPATO. Mkataba ndio utajibu maswali yote na daubts zooote humu
 
Ndugu,
Asante kwa maelezo mazuri........Hakuna ulalamishi ni kutaka ufafanuzi ndio maana kila mmoja wetu ni 'great thinker' katika eneo lake......kama wewe ulivyo katika hili.....swali langu kwako mtaalamu ni kwa nini kufanyike uzinduzi wa hii product kama mabenki yote yanapaswa kufanya hivyo?

Kufanya uzinduzi ni mojawapo ya mbinu zinazotumiwa katika kujitangaza, hivyo hao jamaa wako kibiashara zaidi na mbinu za promotion wanazifahamu. Sasa ukifanya kimya kimya nani atakufahamu?

Kwa hiyo hakuna tatizo hapo!!
 
Bank M Tanzania Limited is among bankers appointed by the Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on the authority’s behalf.

The service was officially launched by the bank at a function held at a Dar es Salaam hotel recently.

At the launch, the bank promised to remit the tax to the authority and issue payment receipts to customers in only five minutes.

The product, branded Money.Mapato, will enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without delay and without having to wait in long queues at banks.

Speaking to journalists at the launch of 'Money Mapato', Bank M board chairman Nimrod Mkono said the product is designed specifically to process TRA tax payments within five minutes and to remove taxpayers’ worries over penalties arising from taxes not being paid on time.

“We bring to you Money. Mapato, with the assurance that payment of taxes will, going forward, be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes,” Mkono said.

Technically, within five minutes of your depositing your tax deposit slips at any of our branches, the amount will be credited to the accounts of TRA and you would be able to proceed to completing your transaction with the TRA,” he added.

The initiative, according Mkono, marks yet another milestone in Bank M continuing efforts to bring the best in banking at a time of clients’ choice and at a place of their convenience.

“With most banks having lengthy queues, the tax payment process has turned to a nightmare forcing several taxpayers to pay taxes days before due date to avoid the penalty. With Money Mapato, you can now rest easy as all it would take to pay your taxes is five minutes,” Mkono, who is also Musoma Rural MP said.

The taxes, the bank authorised to collect under Domestic Revenue Department are VAT on local goods, VAT on local services, stamp duty and income taxes. For Customs & Excise Department, are import duty, excise duty on imports, VAT on imports and fuel levy.

The ingredients which make Money Mapato a success product include handling tax transaction from 8am to 8pm Sunday to Sunday with a service standard guarantee to process the payment in five minutes, he said.

The TRA accounts are at Bank M, meaning the funds don’t need to go through transfer delays; specially trained tellers for this product only; and installation of Asybank, a TRA Customs payment system.

“We bring to this market products and services with levels of commitment unique to us and accompanied by delivery standards unheard of in the local markets,” the bank chairman insisted.

The move by Bank M to introduce this guaranteed service on tax payment, has been warmly welcomed by a number of top listed taxpayers in the country, most of them saying it is likely to be a perfect solution for their current tax payment problems.

Commenting on the service, Jayesh Shah, Sumaria Group Managing Director said his group has been using Bank M services since the inception of the bank and that they are very delighted with the bank’s delivery standards.

“One of our group companies has actually used this new service and our experience is that it is really works in five minutes,” he said, adding that Bank M has been keeping its promises for giving customers good quality services in a very convenient manner.

Similarly, G. Vedagiri, Managing Director of Alpha Group of Companies said that they are using the service because it is one of the most convenient ways of paying taxes.

“We are currently using this new service offered by Bank M and it is a very efficient service which makes the whole process of paying tax simple and convenient,” he said.

For his part, Ketul Patel, Managing Director of BMTL, commended Bank M for its innovative products and improving delivery standards. He also said the bank strives to offer tailor-made services to its customers.
Sameer Ismail, Managing Director of Afrisian Group said the service allows businessmen to concentrate on their businesses without worrying on delays on tax payment.

He said that by pegging this service to its Service Standard Guarantee scheme, Bank M has showed its firm commitment in giving its customers premium financial services. Bank M Tanzania Limited (Bank M) is a fully fledged commercial bank regulated by the Bank of Tanzania and it opened it’s doors for business in July 2007.

SOURCE: THE GUARDIAN

Na hii:

Bank M Tanzania Limited has been appointed by Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on its behalf. Through a service branded Money. Mapato, the bank has promised to remit the tax to TRA and issue payment receipts to the customers in five minutes.

The product would enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without any delays and without having to wait in long queues at banks. Bank M Board Chairman Mr Nimrod Mkono said the product was designed specifically for processing of TRA tax payments within five minutes and to remove worries of penalties from the minds of taxpayers.

"We bring to you Money. mapato, with the assurance that payment of taxes will be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes," said Mr Mkono.

Source: The Citizen

My Take:

As I read the story I'm baffled.. is this a volunteer service on the part of Bank M or is it a charity work? Wao wanapata nini katika mchakato wa transactions hizi za kodi kati ya wateja na TRA.

Pamoja na yote hapa MAFISADI wanazidi kutunisha mitaji yao kwa kutumia mgongo wa TRA. Makampuni haya makubwa yatakimbilia katika bank M ambayo ni benki ya WAHINDI na MKONO. Maumivu makali kwa benki za makabwela
 
I see no problem here!
If am to Invest in the bank Business, I would also Like to do the same. you know why?

1. Walipa kodi wengi watafungua account na Benki yangi ili kurahisisha transaction zao zaidi.
2. kwa wale wanao deposit Cash, wataniwezesha mihela ya kukopesha.
3. Biashara yangu itafahamika sehemu nyingi.

And the list goes on.
 
Heshima kwako mkuu Mwanakijiji,

Hivi unaelewa maana ya neno "among" kwa kiswahili? na huna habari wewe kuwa kabla ya hii taarifa rasmi ya TRA sisi watanzania tunaoishi Tanzania tumekuwa tukitumia Banks tofauti mfano kwa miaka nane nimekuwa nikipeleka payee na sdl returns NBC Bank na napeleka amount ile ile ninayolipia TRA sasa sijui walikuwa wanapata faida gani!

Na sio NBC peke yake hata kulipia ushuru wa magari tunalipia CITI Bank na kodi nyinginezo zinalipwa kwenye bank ya Exim Bank binafsi nimesha lipa motor vehicle license exim bank tawi la Temeke. Katika kumbukumbu yangu sijawahi kulipa pesa taslim wa afisa wa kodi nimekuwa nikitumia baks ambazo zimehaguliwa na mamlaka ya mapato kulipia kodi husika nadhani wanatumia utaratibu huu kwa ajili ya usalama wa pesa/kodi zinazolipwa.

Well said Sossi hayo Bank unayosema tunaweka fedha katika account za TRA zilizopa katika mabenk hayo siyo kwamba wao wanakusanya na kuilipa TRA kama ilivyosomeka katika taarifa. Kama una maana kuwa TRA wamefungua account yao Benk M kwa ajili ya kuweka kodi hapo nitakuelewa Mkuu, lakini Taarifa ilitolewa imeenda mbali zaidi ya hapo imeseme ni mpango mahususi wa kupokea kodi na kuiwaisha TRA! ina maana wanakusanya na kupereka katika account ya TRA yaani hutoweka Direct katika account ya TRA kama ilivyo kwa Mabenk mengine!

Ndio maana hutakaa foleni na pia kuna teller walisomea hiyo huduma maalum ya Benk M!
 
I see no problem here!
If am to Invest in the bank Business, I would also Like to do the same. you know why?

1. Walipa kodi wengi watafungua account na Benki yangi ili kurahisisha transaction zao zaidi.
2. kwa wale wanao deposit Cash, wataniwezesha mihela ya kukopesha.
3. Biashara yangu itafahamika sehemu nyingi.

And the list goes on.

Inawezekana sana, ila wamesema kodi itafikishwa katika account ya TRA ndani ya dk 10!

Ili ufanye hayo unayosema pia hunabudi kujibu iwapo unadhani kuna kodi ya kukaa idle bank katika hii nchni mpaka upate kukopesha watu?
 
FJM ili Mkono uweze kwenda kinywani lazima ATAENDELEA KUBEBWA kwa kupewa kandarasi kama hizi zisizokuwa na tija kwa nchi na TRA yenyewe!!!! Mie nijuavyo M Bank wapo hapa Dar tuu (na siyo Wilaya/Manispaa zote wapo).......Haya ndiyo mambo ya Tz; kama uko kwenye line ya ulaji hata kama UMESHIBA watakulazimisha ule tuu mradi MUENDELEE KUWA GENGE MOJA!!!!

Mungu isaidie NCHI YETU
 
''wanafaidika vipi, what a question? Tra hawazichuki hizo pesa instantly, hii itawasaidia
bank m kuimprove liquidity status yao, for either lending au for meeting regulatory
requirements, which every bank does.'' (Taifa-Kwanza)

''labda tu nitoe angalizo kwamba, bank m ni moja ya bank zenye matatizo ya kifedha
nchini, kwa nini tra wanakubali kudeposit pesa zao kwenye bank yenye liquidity
issues, yanahitajika majibu'' (Taifa-Kwanza)

Hii ndiyo sehemu ya kujadili
 
Back
Top Bottom