Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mwanakijiji are you really serious about corruption iliopo TRA au unapima joto?
Ha ha ha
wewe unapoletewa invoices kulipia gas maji, umeme ama kununua vitu kwa internet huwa unaenda kulipia wapi? teh teh teh hapa mwanakijiji amewapeleka msituni
Mkuu hapo mwanzo umenena vyema sana...ila umekuja kuharibu hapo kwenye maandishi mekundu!!!
Tukijenga utamaduni wa kusubiri mpaka Chadema waquestion issues muhimu kwa taifa letu, tutakua ni kama kutwanga maji kwenye kinu!
Kama unafahamu na kuzielewa haki zako, wewe kama mtanzania unapaswa kuuliza na kutafuta ukweli wa mambo.
Mkuu husisubiri Chadema wafanye iyo kazi!!! Chadema wamejitahidi sana kuamsha watanzania ili waweze kuelewa haki zao..sasa kama hadi sasa hujaamka..kazi ipo!!!
Online mazee!
Bongo bana...How is it that an MP is also a director of a Bank? Isn't there confilict of interest? If you ask me that shouldn't be the case. What if a bill comes into debate, for example..restricting how banks charge fees. I dont think it matters whether the MP is in a specific commitee regulating banks or not. Because ultimately the bill will come to the entire house for vote. it is clear from the get go where Nkono.s vote will go.
Katiba yetu siyo tu haifai, ni ya kuchanwa na kutupwa.
Haters gonna hate!
Huyu Mkono nafikiri atakuwa mwembamba sana, maana watu wembemba ndo huwa wanaongea kwa kutunisha misuli ili nao waonekane wako fiti. Jamaa yuko je huyu?
Nimekupata, but I can assure you wewe na mimi tukiuliza under the so called mwananchi tutajibiwa 2030 (baada ya mchakato!) but kama mimi na wewe tukiuliza under the name CHADEMA utasikia wanajivua magamba! It works better that way!
Kazi ya kukusanya mapato ni ya TRA..kama kazi imewashinda ni kufukuza wote, kui-overhaul na kui-reform mamlaka; then tunaanza upya na watendaji wapya ambao ni wawajibikaji na hawajachafuliwa na ufisadi ulikithiri Tz
Kazi ya TRA ni ipi sasa? huku ni kumwongezea gharama na kuzidi kumuumiza mlipa kodi..at the end of the day hawa mabroka wanadai 10% (au 50%?) yao..Mnakosea, nafikiri hapa ni jinsi ya kulipa, wao hawakusanyi kodi, ila wewe unayedaiwa na tra unaweza kwenda kuwalipa tra kupitia huduma yao m bank, ukiona namna gani vipi unaenda kutafuta wengine wanayotoa huduma hiyo. Hawakusanyi kodi ila wewe ndo unaamua kutumia huduma yao ama lah
ambayo Mkono ameinadi ndani ya dakika 10 unakuwa umeshaonekana kule tra umelipa, ukiona dakika 10 nyingi unafiata ma broka wengine. "Tusiwe na wivu wa kike" by Mkapa
Mwanakijiji hapa umepotosha live, ila umetupata kwa sababu hatusomi context yenyewe.
Mwanakijiji are you really serious about corruption iliopo TRA au unapima joto?
then things are wrong..because it seems our government doesn't fear the public..the public fears the government!!!!
asante.