Bango lenye picha ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia na M/Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu linatufunza " Siasa Siyo Uadui"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana

Wakati wote huwa nasisitiza hapa jamvini kwamba Siasa Siyo Uadui, na ndivyo Bango lile linavyotufundisha

Siasa ni Sayansi, picha inakuja

Dominica Njema!
 
stop addressing petty issues, we need topics that can stimulate the use of logical analysis if issues, common sense, and intuition from higher mental faculties, siyo kidumu chama cha mapinduzi, wajinga wanajibu kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu chama cha mapinduzi :D :D :D
 
Ccm wanacheza na akili za watanganyika,katiba mpya ya serikali moja inahitajika,tume huru ya uchaguzi tunaihitaji,mihimili inayojitegemea tuna ihitaji,hizo mbwembwe zingine ni janja janja za kipuuzi tu.
 
Siasa za kiafrica bila uadui huwezi toboa, bitter truth!!!

Muafrica kuachia madaraka kwa mpinzani bila Kuona kabisa mambo yameharibika ni ngumu mno, refer Zanzibar!
 
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana

Wakati wote huwa nasisitiza hapa jamvini kwamba Siasa Siyo Uadui, na ndivyo Bango lile linavyotufundisha

Siasa ni Sayansi, picha inakuja

Dominica Njema!
Kwanini kutumia gharama kubwa kuweka mabango makubwa Barabarani, kwani siasa ni Biashara?wanaingiza shilingi ngapi kwa kulipia Mabango yale, nimeona ata huku Mwanza.
 
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana

Wakati wote huwa nasisitiza hapa jamvini kwamba Siasa Siyo Uadui, na ndivyo Bango lile linavyotufundisha

Siasa ni Sayansi, picha inakuja

Dominica Njema!
Tatizo uwezo wa watanzania walio wengi ni BENDERA FUATA UPEPO!

Akija mwingine baada ya miaka 5 akawa na msimamo tofauti, utashangaa watanzania hawa hawa wanapiga makofi na kusema aongezewe muda wa kutawala
 
stop addressing petty issues, we need topics that can stimulate the use of logical analysis if issues, common sense, and intuition from higher mental faculties, siyo kidumu chama cha mapinduzi, wajinga wanajibu kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu chama cha mapinduzi :D :D :D
Huyo imbecile hatakuelewa
 
Mbona wakati wa utawala wa awamu ya kwanza hadi ule watano hatukushuhudia matumizi ya mabango kama kiki ya kisiasa kwa watawala. Hivi tujiulize, hata watawala wa nchi nyingine jirani na sisi wanatumia njia hizi kumbeba mtawala kwa kumnadi kwa "promo" za nguvu nje ya kipindi cha kampeni za uchaguzi!?
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana

Wakati wote huwa nasisitiza hapa jamvini kwamba Siasa Siyo Uadui, na ndivyo Bango lile linavyotufundisha

Siasa ni Sayansi, picha inakuja

Dominica Njema!
Hakuna lolote hapo, hii janja ya CCM kutumia mabango hayo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kampeni za u chaguzi za 2024 na 2025. Rais atimizapo majukumu yake ya kikatiba na kijamii kuna haja gani ya kuweka mabango luluki kila sehemu!?
 
Nimekutana na hili Bango ambalo ni maarufu sana kwa sasa lenye picha ya Rais Samia ( Mwenyekiti wa CCM) na Tundu Lisu Makamu mwenyekiti wa Chadema, limenifurahisha sana

Wakati wote huwa nasisitiza hapa jamvini kwamba Siasa Siyo Uadui, na ndivyo Bango lile linavyotufundisha

Siasa ni Sayansi, picha inakuja

Dominica Njema!
Linatufunza kwamba kuna watu hupenda kuwatumia watu wengine kujinufaisha wao.
 
Back
Top Bottom