Bango la JF..... Umewahi kupitia haya?

gambachovu

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
1,854
292
Binadamu tunapitia mambo mengi katika maisha yetu.

Nimeamua kuanzisha uzi huu ili tupeane uzoefu wa mambo yaliyotukuta,na kujipa matumaini mapya ya kusonga mbele,na kuwapa pole wenzetu,kwa yaliyowakuta.

Hapa chini ni baadhi ya masahibu yanayowakuta watu katika nyakati tofauti.

1.Kusingiziwa kosa lisolokuwa lako,
-iwe upotevu
-forgery na mengine kama hayo...

2.Kuibiwa mali
-samani(furniture)
-Computer/Laptop
-Gari na vingine kama hivyo

3.Kupita maeneo yenye vibaka na kuporwa

4.Kutapeliwa
-simu za mkononi,hela,n.k
-kiwanja,nyumba,gari,n.k.

5.Kufiwa na boyfriend,au girlfriend,na husband,wife.

6.Kutishiwa maisha kwa njia ya simu,barua,na au message ya simu.

7.Kufanyiwa upasuaji wa aina yoyote katika mwili wako,iwe jicho,goti,uvimbe,ya uzazi,na nyinginezo..

8.Kupanda gari binafsi,basi la abiria,treni,meli,boti,au ndege na ikatokea
-Puncture,ama ajali kabisa
-Kutekwa,na au ujambazi,na misukosuko mingine kama hiyo..

9.Kufiwa na mtoto,au watoto

10.Kupigana na,ama kupigwa na mwenza

11.Kupewa miadi hewa(haijalishi ni mpenzi ama siyo),kuwa mkutane mahali,nawe ukaenda na ukaganda hadi likakuchwea...

12.Kudondoka ghafla kwa mshtuko,hofu au kwa lolote lile lingine..

Karibuni..
 
sitaa sahau siku nilipo singiziwaaa nimemtoroshaa mkee wa m2..ambaye hata sinaa mazoea nae na walaa sijawai hata kumsalimiaaa,nashangaa 2 story mtaani....flani ka mtoroshaa mkee wa flanii,huku jamaa akizidi kupakazaa kwambaa atanitumia watu waniuweeeeeeeeee.masikini weeeeeeeeeeeee
 
4.Kutapeliwa
-simu za mkononi,hela,n.k
-kiwanja,nyumba,gari,n.k.

iliwahi kunitokea hii...posta mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee.....enzi hizo nilitapeliwa siemens 32(sijui jina nalikumbuka sawa sawa) na sh 5000...... baada ya zoezi la kutapeliwa ndo nikagundua kuwa nishaibiwa hivyooooo...........

5.Kufiwa na boyfriend,au girlfriend,na husband,wife.

hii iliwahi kunitokea....nilimpoteza kwenye ajali ya gari....ilinichukua muda kurecover....nashukuru kwa sala na maombi nilifanikiwa......sasa nimemove on nikapata mwenza mpya, ananipenda kwa dhati na tuna watoto kadhaa sasa....

8.Kupanda gari binafsi,basi la abiria,treni,meli,boti,au ndege na ikatokea
-Puncture,ama ajali kabisa
-Kutekwa,na au ujambazi,na misukosuko mingine kama hiyo..

pancha yess... hayo mengine noooo mbadoooo yanipite mbali.....

11.Kupewa miadi hewa(haijalishi ni mpenzi ama siyo),kuwa mkutane mahali,nawe ukaenda na ukaganda hadi likakuchwea...

hahahahaha hii ilishatokeaga mkuu. sidhani kama kuna ambaye haikumtokea hii mmmmh!!!!
 
sitaa sahau siku nilipo singiziwaaa nimemtoroshaa mkee wa m2..ambaye hata sinaa mazoea nae na walaa sijawai hata kumsalimiaaa,nashangaa 2 story mtaani....flani ka mtoroshaa mkee wa flanii,huku jamaa akizidi kupakazaa kwambaa atanitumia watu waniuweeeeeeeeee.masikini weeeeeeeeeeeee

i see....
pole sana...unaweza hama mtaa hivi hivi...
 
namba 11....tena wa hapa hapa Jeiefu....siku ya Valentina....
 
Dah, hizi experience zinakufanya unakua kabla ya wakati.

Ukimuona yatima ana ndevu, jua moyo una mvi.
 
sitaa sahau siku nilipo singiziwaaa nimemtoroshaa mkee wa m2..ambaye hata sinaa mazoea nae na walaa sijawai hata kumsalimiaaa,nashangaa 2 story mtaani....flani ka mtoroshaa mkee wa flanii,huku jamaa akizidi kupakazaa kwambaa atanitumia watu waniuweeeeeeeeee.masikini weeeeeeeeeeeee

Pole sana B'REAL.... Na ndiyo kusudio la hii thread,kukumbuka mabaya tuliyoyapata,tunashirikishana na kupeana pole. Wengine yamewakuta mengine,na wengine yamewakuta mengine...
 
Back
Top Bottom