Bangi noooma!

Bangeeeeeeeeeee nibangue bi Kidude nimuone Sista Duh, Bi cheka nimuone Kigori,Madam spika nimuone murembooooo.,, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen:
 
Wavuta bangi wa2 walikuwa wanavuta bangi chini ya mwembe.Walivyomaliza kuvuta wakataka kuondoka,mmja wao akaona embe lililoiva juu ya mwembe akamwambia mwenzake;-kuna embe limeiva juu ya mti,tulipige na mawe.basi wakakusanya mawe na kuanza kililenga,walitupa mawe kwa mda kama nusu saa hivi lakini hawakufanikiwa kulipiga.Basi mmja wao akasema;-mwanangu tunaweza tukawa tunaliangaikia embe alafu likawa halijaiva,ngoja nipande juu nikaakikishe kama limeiva.Basi akapanda na kulifikia kisha akalibonyeza, kisha akashuka na kumwambia mwenzake;-mwanangu limeiva tafuta mawe mengine tulishushe maana limeiva kweliii.

du bangi sivuti tena zile zile za form two zinatosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom