Bande Ndagundi

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
128
Kwenu wadau jamii ya JF.
Katika report ya jopo la watafiti wa umoja wa mataifa kuhusu biashara ya silaha na waasi walioko DRC wanaojulikana kama FDLR, kuna mtu kwa upande wa Tanzania ametajwa kama ndiye character muhimu kwa jina la Bande Ndagundi.

Kwa kuwa ma papaa wengi ambao huishi bongo huwa ni prominent figure kutokana na kuwa watu wa kujichanganya na kuwa na makuta ya kufanyia mambo. Mie ningependa kufahamu kama mtu huyu anafahamika na watanzania wa kawaida kwa extent gani. Naomba wanaomfahamu watupe wasifu.
 
Kweli wadau mtu mwenye info zaidi za huyu jamaa alete,maana hata akina Kabila tumesikia kuwa wameishi Tanzania muda mrefu wakijipanga kufanya mambo DRC.
 
Back
Top Bottom