Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 82,039
- 95,301
Waarabu always huwa ni matapeli tupuDp world si wapo hapo
Wanazidiwaje
Ova

Kwa mujibu wa jarida la The Standard likinukuu taarifa Kutoka The Ports of Africa ni kwamba Bandari ya Dar imezidiwa na meli kiasi kwamba hadi jumanne ya wiki hii ya Disemba kulikuwa na meli 38 zinazosubiria kushusha mzigo.
Aidha imefikia mahala muda wa kusubiria unafikia siku 30 jambo ambalo limeleta hofu ya gharama za kukomboa bidhaa.
Kutokana na Hali hiyo ,meli nyingi ambazo zilikuwa zitie nanga kwenye Bandari ya Dar zikiwa na mzigo wa Tanzania na Nchi majirani zimelazimika kuanza kwenda kushushia mizigo Bandari ya Mombasa Kenya ambayo inaonekana Ina nafasi.
Ikumbukwe hii ni disemba ambayo Huwa na mizigo Mingi sana Kwa Ajili ya matumizi ya msimu wa mwisho wa mwaka lakini TPA hawafanyi jitihada za kukabiliana na seasoned cargo volumes.Huku ni Kuchezea Uchumi wa Nchi kama sio hujuma.
Swali Kwa Mamlaka na TPA.
Hivi mumeshindwa kabisa kuondoa tatizo la msongamano ambao unaongea gharama za bidhaa na kutatuza Ufanisi wa Bandari yetu?
Kama tatizo ni nafasi ndogo ya Hiyo Bandari, Serikali inajivita vuta Kwa nini kuanza Ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo?
Uchumi unazidi kukua wa ndani ya Nchi na Nchi jirani aelfu ya mizigo yatalazimika kupita hapo Sasa mbona sioni jitihada za kuwa mbele ya mda badala yake tunafanya kazi ya zima moto?
Kama shida ni uchache wa gati na space ndogo ya Bandari sitarajii Ufanisi wowote kutoka DP World Kwa sababu tatizo la msingi ni ufinyu wa nafasi.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tunafukuzana na wauza mikaa,mama ntilie nk wakati tunachezea Uchumi wa Jiografia Kupitia Bandari zetu.
Inasikitisha sana.
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1732724180854993029?t=QEC5GMSCcoQNO8FW0fWYnw&s=19
Huyo yupo hapa kukashifu peke yake na sidhani anajua maana ya 'port of discharge' na hata kama anajua, huwa anapuuza na kujiondoa ufahamu pale mtu unapokuja na hoja kinzani na yake...alimradi jumbe lake kuu au mada kuu limefika huwa anajifanya anashangaa shangaa.Meli haiwezi ikabadili (Port of Discharge) bandari ya kushushia mzigo kisa foleni ya gati. Changamoto za meli kukaa nje muda mwingine usababishwa na sababu za hali ya hewa kwa meli zenye mizigo ya kichele(bulk cargoes).
Hawajui kuwa kutakuwa na extra cost, Port of Discharge ni Dar ukashushe mizigo Mombasa kisha usafirishe mpaka DarHuyo yupo hapa kukashifu peke yake na sidhani anajua maana ya 'port of discharge' na hata kama anajua, huwa anapuuza na kujiondoa ufahamu pale mtu unapokuja na hoja kinzani na yake...alimradi jumbe lake kuu au mada kuu limefika huwa anajifanya anashangaa shangaa.
Nani ambao sio laana?Miccm ni laana kwa hili Taifa.
Tusubirie nini? Mzigo unaongezeka ila Kasi ya Huduma haiendani na Ongezeko la shehena.Mbona mmeanza kulia mapema? Subirini
Kwa mujibu wa jarida la The Standard likinukuu taarifa Kutoka The Ports of Africa ni kwamba Bandari ya Dar imezidiwa na meli kiasi kwamba hadi jumanne ya wiki hii ya Disemba kulikuwa na meli 38 zinazosubiria kushusha mzigo.
Aidha imefikia mahala muda wa kusubiria unafikia siku 30 jambo ambalo limeleta hofu ya gharama za kukomboa bidhaa.
Kutokana na Hali hiyo, meli nyingi ambazo zilikuwa zitie nanga kwenye Bandari ya Dar zikiwa na mzigo wa Tanzania na Nchi majirani zimelazimika kuanza kwenda kushushia mizigo Bandari ya Mombasa Kenya ambayo inaonekana Ina nafasi.
Ikumbukwe hii ni disemba ambayo Huwa na mizigo Mingi sana Kwa Ajili ya matumizi ya msimu wa mwisho wa mwaka lakini TPA hawafanyi jitihada za kukabiliana na seasoned cargo volumes.Huku ni Kuchezea Uchumi wa Nchi kama sio hujuma.
Swali Kwa Mamlaka na TPA.
Hivi mumeshindwa kabisa kuondoa tatizo la msongamano ambao unaongea gharama za bidhaa na kutatuza Ufanisi wa Bandari yetu?
Kama tatizo ni nafasi ndogo ya Hiyo Bandari, Serikali inajivita vuta Kwa nini kuanza Ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo?
Uchumi unazidi kukua wa ndani ya Nchi na Nchi jirani aelfu ya mizigo yatalazimika kupita hapo Sasa mbona sioni jitihada za kuwa mbele ya mda badala yake tunafanya kazi ya zima moto?
Kama shida ni uchache wa gati na space ndogo ya Bandari sitarajii Ufanisi wowote kutoka DP World Kwa sababu tatizo la msingi ni ufinyu wa nafasi.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tunafukuzana na wauza mikaa,mama ntilie nk wakati tunachezea Uchumi wa Jiografia Kupitia Bandari zetu.
Inasikitisha sana.
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1732724180854993029?t=QEC5GMSCcoQNO8FW0fWYnw&s=19
Kwa mujibu wa jarida la The Standard likinukuu taarifa Kutoka The Ports of Africa ni kwamba Bandari ya Dar imezidiwa na meli kiasi kwamba hadi jumanne ya wiki hii ya Disemba kulikuwa na meli 38 zinazosubiria kushusha mzigo.
Aidha imefikia mahala muda wa kusubiria unafikia siku 30 jambo ambalo limeleta hofu ya gharama za kukomboa bidhaa.
Kutokana na Hali hiyo, meli nyingi ambazo zilikuwa zitie nanga kwenye Bandari ya Dar zikiwa na mzigo wa Tanzania na Nchi majirani zimelazimika kuanza kwenda kushushia mizigo Bandari ya Mombasa Kenya ambayo inaonekana Ina nafasi.
Ikumbukwe hii ni disemba ambayo Huwa na mizigo Mingi sana Kwa Ajili ya matumizi ya msimu wa mwisho wa mwaka lakini TPA hawafanyi jitihada za kukabiliana na seasoned cargo volumes.Huku ni Kuchezea Uchumi wa Nchi kama sio hujuma.
Swali Kwa Mamlaka na TPA.
Hivi mumeshindwa kabisa kuondoa tatizo la msongamano ambao unaongea gharama za bidhaa na kutatuza Ufanisi wa Bandari yetu?
Kama tatizo ni nafasi ndogo ya Hiyo Bandari, Serikali inajivita vuta Kwa nini kuanza Ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo?
Uchumi unazidi kukua wa ndani ya Nchi na Nchi jirani aelfu ya mizigo yatalazimika kupita hapo Sasa mbona sioni jitihada za kuwa mbele ya mda badala yake tunafanya kazi ya zima moto?
Kama shida ni uchache wa gati na space ndogo ya Bandari sitarajii Ufanisi wowote kutoka DP World Kwa sababu tatizo la msingi ni ufinyu wa nafasi.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tunafukuzana na wauza mikaa,mama ntilie nk wakati tunachezea Uchumi wa Jiografia Kupitia Bandari zetu.
Inasikitisha sana.
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1732724180854993029?t=QEC5GMSCcoQNO8FW0fWYnw&s=19
Kwa mujibu wa jarida la The Standard likinukuu taarifa Kutoka The Ports of Africa ni kwamba Bandari ya Dar imezidiwa na meli kiasi kwamba hadi jumanne ya wiki hii ya Disemba kulikuwa na meli 38 zinazosubiria kushusha mzigo.
Aidha imefikia mahala muda wa kusubiria unafikia siku 30 jambo ambalo limeleta hofu ya gharama za kukomboa bidhaa.
Kutokana na Hali hiyo, meli nyingi ambazo zilikuwa zitie nanga kwenye Bandari ya Dar zikiwa na mzigo wa Tanzania na Nchi majirani zimelazimika kuanza kwenda kushushia mizigo Bandari ya Mombasa Kenya ambayo inaonekana Ina nafasi.
Ikumbukwe hii ni disemba ambayo Huwa na mizigo Mingi sana Kwa Ajili ya matumizi ya msimu wa mwisho wa mwaka lakini TPA hawafanyi jitihada za kukabiliana na seasoned cargo volumes.Huku ni Kuchezea Uchumi wa Nchi kama sio hujuma.
Swali Kwa Mamlaka na TPA.
Hivi mumeshindwa kabisa kuondoa tatizo la msongamano ambao unaongea gharama za bidhaa na kutatuza Ufanisi wa Bandari yetu?
Kama tatizo ni nafasi ndogo ya Hiyo Bandari, Serikali inajivita vuta Kwa nini kuanza Ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo?
Uchumi unazidi kukua wa ndani ya Nchi na Nchi jirani aelfu ya mizigo yatalazimika kupita hapo Sasa mbona sioni jitihada za kuwa mbele ya mda badala yake tunafanya kazi ya zima moto?
Kama shida ni uchache wa gati na space ndogo ya Bandari sitarajii Ufanisi wowote kutoka DP World Kwa sababu tatizo la msingi ni ufinyu wa nafasi.
Ni jambo la kusikitisha kwamba tunafukuzana na wauza mikaa,mama ntilie nk wakati tunachezea Uchumi wa Jiografia Kupitia Bandari zetu.
Inasikitisha sana.
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1732724180854993029?t=QEC5GMSCcoQNO8FW0fWYnw&s=19
Kanatafuta ukuu wa wilaya tuKwa hiyo unajaribu kusema kuwa baada ya kazia hii suluhu ndio ikawa kuigawa bure hii bandari kwa DPW? Yani hili ndilo unalojaribu tutushawishi ndilo suluhu pekee kabisa?
Una shida mahala,Tanga na Mtwara Kuna vifaa na storage ya kushushia na kuhifadhi mizigo?Yaani waache kupeleka tanga na mtwara wapeleke msa? Nyie wakunya acheni uwongo na ujanja ujanja
Si wajinga wa kijani wameshika hatamu, lazima ufanane nao ndio ugombee...wa upande wa pili ni ChAWa, wameshikiwa bongo na kijanizSaa itakuaje wakati nyie werevu hamjapendekeza suluhisho Wala hamjajitokeza Kugombea Uongozi
Unaijua bandari ya tanga? Au unakariri tuUna shida mahala,Tanga na Mtwara Kuna vifaa na storage ya kushushia na kuhifadhi mizigo?
Nimeshangaa Sana Hii Nchi Na CCMBandari imezidiwa vipi tena wakati kapewa Mwarabu!?