Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,676
- 18,351
Wewe kenge kaa kimya!! Kama hujui kazi alizofanya Kikwette. Mnamuabudu huyo marehemu kwa vile aliwajaza uwongoKwani jk mwenyewe kilimshinda nini kuijenga kwa miaka 10 aliyokaa madarakani?kati ya jk na magufuri aliekaa madarakani miaka 5.5 nani kafanya makubwa ambayo kamwe yatachukua hata miaka 30 kufanywa na wengine