jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,741
- 2,812
Utafeli mtihani! Ooooooh ooooh!
Waambie wanao wakoulizwa kwenye mtihani raos wa tano wa JMT waseme Magufuli, watafaulu.
Haaaahaaaa

Pumbavu sana wwe. Ufe na uendawazimu wako. Pumbavu usiyestahili hata kuitwa binadamu.
Hamia Somalia ndio wanauzoefu wa kutokuwa na Rais kwa miaka 20
Very very true. Huyu mchumia tumbo tangu lini akawa na maslahi mapana na taifa bwanaa !!!!!! Atuambie lea nini ATC haikuwahi ku shine na yeyes alikuwepo hapo kwa miaka kadhaaa. Au anafikiria kwamba wote hatukumbuki historia yake???
msemakweli
Funzo moja kubwa linalotokana na mchakato huu ni kuwa wakati watu wapo madarakani wasifanye maamuzi kwa maslahi ya kjndi dogo la watu (vyama) badala yake wazingatie maslahi ya umma. Sisi tulioko upinzank muda mrefu tumezoea kuonewa lakini hao waliokuja upinzani hivi karibuni walikuwz madarakani muda mrefu na ktk vyeo vilivyokuwa vikiwawezesha kufanya marekebisho ya katiba kidogo kidogo. Ikumbukwe kuwa madai ya katiba kimekuwa kilio cha wapinzani kwa zaidi ya miongo mitatu. Malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani, kama ambavyo tumekuwa tukiumia kila chaguzi zinapopita nashukuru na wale ambao walikuwa walikwamisha upatikanaji katiba mpya na watapata hchungu ule ule tuliokuwa tukiupata. Aidha ni funzo pia kwa waliosalia huko ccm watambud kuwa katika siasa zz sasa hakuna makao ya kudumu
Watanabe
Point yako ni nzuri sana na wanasiasa wa pande zote wanalo la kujifunza. Kwa upande wa watawala nakubaliana nawe kwamba wakiwa huko wakumbuke kutengeza mazingira ao kutumia plan za B Mara plan A zinapofeli.
Lakini muhimu kwa upande wangu oppositions hawakufanya hesabu zao vizuri. Kulikuwa na opportunity ya kuiondoa ccm uchaguzi lakini hawakuiona because they wanted it all at once, walitaka kilakila kiwemo kitu kwenye katiba pendekezwa. Wakasahau kwamba uchaguzi ulikuwa around the corner na kwamba the priority ilikuwa ni tume huru na mambo yanayohusiana na uchaguzi.
Kimsingi ccm walikuwa wamejiingiza mtegoni, iliKuwa ni kwa upinzani kuiona opportunity hiyo ili kukamata dola kwanza kupitia Tume huru ya uchaguzi.
Ni lazima sasa tutambue kwamba adui mkubwa wa demokrasia Tanzania ni Tume ya uchaguzi and this shall be the priority now on.
Naunga mkono hoja, wakati wabunge walipokuwa wanapiga kura ya wazi au Siri kuhusu Katiba Mpya EL alitakiwa kupiga kura ya Wazi tena kwa Sauti Kubwa HAPANAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. Nathani hakufanya hivyo !!!!!msemakweli
Funzo moja kubwa linalotokana na mchakato huu ni kuwa wakati watu wapo madarakani wasifanye maamuzi kwa maslahi ya kjndi dogo la watu (vyama) badala yake wazingatie maslahi ya umma. Sisi tulioko upinzank muda mrefu tumezoea kuonewa lakini hao waliokuja upinzani hivi karibuni walikuwz madarakani muda mrefu na ktk vyeo vilivyokuwa vikiwawezesha kufanya marekebisho ya katiba kidogo kidogo. Ikumbukwe kuwa madai ya katiba kimekuwa kilio cha wapinzani kwa zaidi ya miongo mitatu. Malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani, kama ambavyo tumekuwa tukiumia kila chaguzi zinapopita nashukuru na wale ambao walikuwa walikwamisha upatikanaji katiba mpya na watapata hchungu ule ule tuliokuwa tukiupata. Aidha ni funzo pia kwa waliosalia huko ccm watambud kuwa katika siasa zz sasa hakuna makao ya kudumu.
Watanzania tulio wengi tumemchagua japo hajatuahidi katiba mpya.
Hujawai kumkubali kabla na wala si lazima umkubali sasa..usijipendekeze ewe mshikadau wa Wadokozi
Hakuna mwanasiasa yeyote duniani anaipenda Rasimu ya Warioba.Ile ni katiba ya wananchi.Hata kama UKAWA ndo wangeshinda masuala ya katiba ya Warioba sahau.
Hahahaaa..... CCM is one BIG FAT joke!
We karani wa Ufipa uliyeahidiwa kupewa promosheni kuwa Personal Assistant wa fisadi unaishi kwa dolla ngapi kwa siku?Mliomchagua Magufuli ni nyie mnaoishi chini ya dola moja kwa siku.
Hahahaaa..... CCM is one BIG FAT joke!
typical ccm watu maskini wenye akili ndogo.Ndio Lowasa ni rais ila tofauti yake na Dr Magufuri ni kwamba Wakat Dr Magufuri ni RAIS wa Watanzania Yeye Lowasa ni rais wa malofa na wapumbavu.
MY PRES.IS LOWASSA ONly....
MY PRES.IS LOWASSA ONly....
MY PRES.IS LOWASSA ONly....
Ndio Lowasa ni rais ila tofauti yake na Dr Magufuri ni kwamba Wakat Dr Magufuri ni RAIS wa Watanzania wote yeye Lowasa ni rais wa malofa na wapumbavu.
kaka umemaliza, tatzo la nchi yetu ni unafiki na watu kujali matumbo yao, matatizo ya madai ya katiba hayajaanza leo hao kina mwapachu wamefanya nn kuhusu hii wkt wako kwenye system, leo wamenyolewa wao ndo wanajifanya kubwabwaja, wkt katiba ya Warioba ikichakachuliwa mbona hakuongea, utashangaa Kingunge naye atakuja kulalamika akisahau alivyotoa povu bungeni kupinga katiba pendekezwa, mm nashukuru atleasat na wenyewe wameonja jotola jiwemsemakweli