TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Alikuwa mtu wa kitengo huyu Mzee...


Kafia 'Mzena'


Sema Siku Moja kwenye kampeini zake hapo Kiziba, wananchi walimlilia kuwa tumbili au ngedele kama sijakosea jina la wale wanyama wanafanana na nyani lkn wanakula sana mahindi n.k

Wakamwambia Mhe. Huku tumbili/ngedele wanatusumbua sana tunaomba msaada wako na serikali.

Akawaambia nawashauli muwe mnawala! Mkikamata kama wawili watatu mkawala hamtawaona tena.

Nilijizuia kucheka kwasbabu... Lkn dah Leo ndo nacheka ahahahahhaha Toka halo hakupata Ubunge tena...nshomile wakamzingua ahahah

RIP mdogo wangu Kamala kyoma!

Nakukumbuka sana pale Sinza Kijiweni na hapo Victoria kwa Mzee Kingunge.....
Si ndio hapo aliuliza "what is nkende?"😂. Nilihadithiwa miaka ya baadae. Ni ngedere walikuwa wanakula mazao kutokea misitu jirani.
Nahisi alijibu kwa utani na wala hakuchukua hatua wakasema anawakejeli.
Wakati suluhisho la tatizo kama hilo maeneo mengine ilikuwa ni kukodisha bunduki msimu wa mazao na kushoot siku kadhaa ngedere wanahama wenyewe. Sasa bureaucracy iliyopo kwa wananchi kukodi bunduki ndio waliomba msaada wake.
 
Kuna mama mmoja ninasubiri mume wake arest in peace,

Nitamuoa trust me.

Mume wake aliwahi kuwa Kiongozi mkubwa wa Taifa ili na huyo mama ni mh KULE kwenye mjengo Dodoma.

Sitafanya makosa.

Mzee Mandela alivuta mke wa Samora wa msumbiji.

Mimi nitavuta mke hapo karibu na chalinze kuelekea dar na morogoro
 
Huyu bwana hamna kitu alifanya jimboni, hata kulala walau usiku mmoja alikuwa hataki anajikuta busy sana. Akimaliza uchaguzi anaweza kanyaga jimboni mara tatu hivi kabla ya uchaguzi mwingine, ila siku anazolala uko hazifiki tano miaka mitano.

Alikuwa mpole, haongei, hasikilizi watu, hana muda wa kujua shida za wananchi anapita na V8 tinted mwanzo mwisho hata habari za kusalimia wapiga kura hana.

Mama yake alifariki mwaka jana mwanzoni hivi.

Nje ya siasa alikuwa mtu mzuri kiraia, kisiasa sidhani hata kwenye ubalozi na uwaziri alikuwa na mchango wa maana kitaifa.
Btw, Rwegasira yupo?.
 
Back
Top Bottom