Balozi Amina Salum Ali Alipomtembelea Rais Jakaya Kikwete

CCM imefilisika sera mpaka watu. subiri tujipange na mwaka huu mtatupisha maana EL anajua mbinu zenu zote na atatutonya. Six nae atajiunga na upinzani.
 
Haiwezekani bana, Faiza 7/24 yupo umu, nafikiri ni jobless fulani hivi.

acha kumdhihaki bibi FaizaFoxy ni mtu classic msomi mwenye vitega uchumi vyake tokea Nchi hii haijapata Uhuru!
Isingekuwa mzee mchonga kuwapokonya mali zao leo hii angekuwa tajiri kuliko SS Bakhressa.
 
Last edited by a moderator:
tatizo la wengi huku jamii forum,ni kuchamngamya mambo kwani kuna uhusiano gani kati ya yeye kumtembelea rais;kuvaa hijab na kutojua kingereza,mbona kama kuna jambo mlikuwa jambo lilikuwa ndani ya vifu vyenu lakin mkashindwa jinsi ya kulianzisha?sasa mkaona mlilete kwa njia hii,hilo si jambo la afya kuanza kuhusianisha vitu ambavyo havina uhusiano wowote,tuweni wastarabu.
 
Back
Top Bottom