Balotelli fury at King Kong cartoon slur in Italian newspaper

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
article-0-13CC7AC4000005DC-752_306x423.jpg


Mario Balotelli has found himself at the centre of a new race row, this time sparked by a deeply offensive cartoon depicting him as King Kong in a leading Italian newspaper.

On the morning of Italy’s European Championship encounter with England, Gazzetta dello Sport published a drawing of a giant Balotelli atop Big Ben swatting away footballs in the same way King Kong did aircrafts atop New York’s Empire State Building in the film.

Read more:
Euro 2012: Mario Balotelli in race storm over newspaper cartoon | Mail Online
 
Aisee huyu jamaa ana maisha ya mateso sana. Yaani mpaka nchi yake anayoivujia jasho wanambagua. Kazi kweli kweli.
 
Yaani ulaya ni ngumu sana kuikubali ngozi nyeusi...sijui itachukua muda gani kubadilika. Labda siku Africa ikawa ni tajiri kuliko Ulaya

Mi huwa nawashangaa wale wenye chuki na waarabu, na wakaaminoshwa kuwa waarabu ndio waanzilishi wa slave trade kisha eti wazungu ndio waliopoga marufuku!! Ukweli uko wazi, kwa wale wanaowathamini wazungu mambo ndo kama hayo, ubaguzi upo wazi, kwenye magazeti hadi kwenye viwanja vya soccer!!
 
Ajitoe hiyo timu ya wazungu abakie kula bata kwa Sheikh Mansour.

Waarabu wanatizama ufanyaji kazi sio kama wazungu hata uwafanyie kazi vipi kwao utabaki kiwa Kima tu, na ndio wao waliokuja na concept ya kuwa eti binaadamu walianza kuwa kima, na michoro yote ni watu weusi!! Mnawathamini wazungu hayo ndio malipo
 
Ubaguzi upo kila kona,nilikuwa naamini kuwa watu waliosoma wanakuwa sio wabaguzi lkn naona imani hiyo haipo tena.

Mimi sio mswahili lkn inaniuma sana kuona hivi,nasipendi kuona mtu anabaguliwa kwa rangi yake,na sitapenda mimi kubaguliwa kwa rangi yangu.

Ungojwa mkubwa 2lionao binadamu ni ubaguzi wa rangi.
 
Huu ni ujinga yeye mwenyewe anajua ni Mghana akachagua Mafioso sasa analipia...
 
Yaani ulaya ni ngumu sana kuikubali ngozi nyeusi...sijui itachukua muda gani kubadilika. Labda siku Africa ikawa ni tajiri kuliko Ulaya

Africa ni tajiri kuliko ulaya. Sema sisi ni maskini wa akili tu. Tunawapa wenyewe mali zetu halafu tunakwenda kuwaomba msaamda. Hakuna kitu ambacho hatuna. Ni akili tu na ubinafsi ndiyo unatudhalilisha.
 
"Only evil, Godless men would make the color of a man's skin the criteria for granting him civil rights."
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1960 . The first President of Tanzania and author of several books.
 
Black Rastafarians huwa hawabaguliwi kwa sana kama hawa ma blacks wengine.
Hii ni kwa sababu huwa wanakubali their roots are in Africa.
Lakini hawa matoz kama kina late MJ, Kobe, Tiger Woods na type ya kina Balotelli wamezidi kujipendekeza kwa wazungu.
Kwa hiyo poa tu wakibaguliwa.
 
Hii ndio inanifanya niamini ukorofi wake uwanjani na nje ya uwanja unachangiwa zaidi na kubaguliwa kwake ukitilia maanani tangu udogo wake amekuwa kwenye hali hiyo. Naamini kupitia kwake ni mwanzo mzuri kwa wengine wajao kutokubaguliwa. Ubaguzi wa rangi ni unyama dhidi ya wanadamu.
 
Jamaa ni mpiganaji wa ukweli..angekua mbongo tayari angesharudi nyumbani kabla hata safari yake ya kufikia hapo alipo haijaanza..namuona kama mwakilishi mzuri wa race yetu...kafanya vyema sana..HONGERA SANA BALOTELI...!! YOU MADE IT!!!! kula pesa weka historia wivu tu hizo za ngozi nyeupe!!!
 
Back
Top Bottom