Balali........Kumbe...!!!

haya yapo na jamaa inasemekana alikuwa kichwa...........ila alitumiwa kama chambo tu katika madili yote ya bot.............wahusika wapo ndio maana waliamua kumwondoa haraka asije akawataja maana yeye ndo alikuwa na siri za vigogo wote wakiwemo wakuu wa nchi............
 
KWANI Africa inaliwa na wajinga, aah wapi, wote huwa ni wasomi waliobobea, wanakosa uzalendo, wanakosa huruma.
 
Pamoja na kwamba scan yako haionekani na kusomeka vizuri... Source ni RAI.. gazeti ambalo moja wa wamiliki/mmliki pekee ni Rostam Aziz...linaacha maswali mengi juu ya makala hii kama imekuja wakati muafaka wakati kila kesi ya ufisadi inamgusa kwa namna moja au nyingine. Lakini pia upo ukweli kwamba wakati wa uhai wake alipokuwa akifanya kazi Benki ya Dunia, Washington Marekani, akiwa mshauri wa masuala ya Uchumi alijijengea heshima katika maeneo yaliyotajwa.
hata hapa kwetu Tz pia uchumi uchumi wetu nao ulisimama vizuri. TATIZO: Mitandao ya UFISADI iliyoibuka na mafanikio hayo na yeye akaifagilia!!!!.
 
Nilichoona ni kichwa tu cha habari. Nimejaribu ku-google hili nione kazi gani alizofanya kuinua uchumi wa Asia, Africa, na Caribbean. Sijaona chochote cha maana zaidi ya habari zinazoambatana na mambo yaliotokea bongo.

Hivyo kwa maoni yangu Balali alikuwa WB na kufanya kazi kama watanzania wengine waliopata nafasi kama yake na hakuna kitu exceptional alichofanya kilichomweka yeye kuwa zaidi ya watu wengine.

Na kuhusu uchumi wa Tanzania: Maliasili ya nchi inayouzwa kwa bei ya kutupwa ndio kiini kikubwa cha mafanikio.
 
Kwa kiasi cha pesa kilichopita mikononi mwa huyu mheshimiwa nina uhakika kwamba hakufa ila amefanya cosmetic surgery na kutengeneza docs fake na si ajabu yupo ndani ya bongo ila watu hawajui. Amechukua billions nyingi sana tu.
 
No, hayupo bongo, yupo South America!
 
nasikiaga alikufa ila maiti haikuletwa na hadi leo sijawahi kuona hata picha ya kaburi la gavana wetu fisadi.

kaburi lipo marekani sema tu mwili wa marehemu Balali haukuagwa na watz ambao wako Amerika angalao wangewawkilisha wtz wengine. Hata balozi wetu Daraja aliogopa kivuli chake asije akahusushwa labda na ufisadi japo Richmond ilimtikisa kidogo
 
Behaviors za wanafamilia wa Balali ndio zinapelekea fununu kwamba inawezekana akawa yuko hai....Kifo kuwa chenye utata na familia kutokuchukua hatua zozote za kiuchunguzi ina raise eyebrows...Wanafamilia ni watu wasomi,wenye uelewa na uwezo wa kuhakikisha haki inatendeka kama kweli he was poisoned,hata kama alikuwa ana makosa lakini kifo chenye utata hakiko justified,hata mwizi kuuwawa ni kinyume cha sheria.
Pia hakukuwepo na sababu yoyote ile ya wao kuhandle shughuli za kimsiba the way they did considering the fact kuwa wao ndio walikuwa victims at least wa foul play kwa Balali kula ama kulishwa sumu...Na the fact kwamba wako US ambapo mechanism za kudeal na issue kama hizi ni even better....Balali anaweza kuwa hai,ni kama uncertainity principle,it is imposible to know everything exactly at the same time....If we know one thing exactly,then we know nothing about the other...The more we know about onething the less we know about the other,the possibility of Balali to be alive might be what we dont know,the number of times in "probability" context that he may be alive is not zero tho.
 
kaburi lipo marekani sema tu mwili wa marehemu Balali haukuagwa na watz ambao wako Amerika angalao wangewawkilisha wtz wengine. Hata balozi wetu Daraja aliogopa kivuli chake asije akahusushwa labda na ufisadi japo Richmond ilimtikisa kidogo
Hapana,
Balozi hakuwa Daraja. Get your facts straight.
 
Back
Top Bottom