Bakwata: Siyo sahihi Kiongozi wa Dini Moja kumsemea Kiongozi wa Dini nyingine, Mufti Zubeir hajasema " Hapana" kwa mkataba wa DP World na TPA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,019
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!
 
mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Hapo taarifa ya umma ya BAKWATA inaleta ukakasi.

Taasisi kubwa inayoheshimika kama hii ya BAKWATA na zingine zinatakiwa kuwa makini inapotoa taarifa zake rasmi .
 
Angalizo la Sheikh Abuu ni muongozo mzuri kwetu sote wa imani mbalimbali hapa Tanzania

TOKA MAKTABA :

19 January 2023
Dar es Salaam, Tanzania

SHEIKH ABUU - TAHADHARI KWA MADHEHEBU

Sheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi wa Mufti wa Tanzania ametoa tahadhari hiyo kwa kuwa inaweza kupelekea amani kuvunjika nchini Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi CV (wasifu) yake imesheheni nyadhifa kadha wa kadha ktk utumishi kwa dini na jamii kwani yeye ni imamu mkuu msikiti wa Masjid Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam. Pia kwa miaka 16 amekuwa akiendesha kipindi ktk kituo cha televisheni cha Channel Ten kutoa daawa na darsa, mratibu Al Risala Foundation, Mratibu wa Kudumisha Amani katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwandishi wa kitabu kinachokwenda kwa jina Misingi 15 ya amani, mwandishi wa makala katika gazeti kubwa la Mwananchi pia ni Mshauri wa dini na jamii wa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi ameelekeza tahadhari hii hususan kwa madhehebu ya Sunni na Shia yanayo shambuliana kupitia majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii wakiongozwa na viongozi wao.

Amewataja Sheikh Mziwanda na Samir wa upande wa Sunni huku upande wa madhehebu ya Shia kupitia Sheikh Hemed Jalala, Sheikh Abdul na wenzie watatu wakijitetea.

Na pande hizi mbili za madhehebu haya yakinukuu kile wanachoamini kwamba ni sawa kwa upande wa madhehebu yao.

Pande hizo zimewekuwa zikirushiana maneno yanayotishia amani za kila aina mfano amani ya viungo, amani ya roho, kuvunjiana heshima n.k huku wote wa pande hizi mbili wakiwa na wafuasi wao hivyo kutishia amani kwa ujumla ya Tanzania maana wafuasi wa pande hizi mbili zinaweza kukabiliana kutetea pande zao na viongozi wao .

Mfumo wa uendeshaji wa mijadala hii imeleta ukakasi mkubwa huku maneno ya kutishiana uhai baina ya pande hizo yakitamkwa asema Sheikh Abuu Iddi kwa masikitiko makubwa.

Sheikh Abuu Iddi anasisitiza kuwa BAKWATA ni ya kwa ajili ya madhehebu yote na hivyo haiwezekeni dhehebu moja kuzuiwa kuja ktk shughuli za BAKWATA kama inavyochagizwa na baadhi ya waumini kuwa viongozi wa madhehebu ya Mashia watengwe......
 
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!
Kheeee 😳😳😳!!
 
Waseme wazi, huo uchunguzi wao ulibaini kuwa aliyezungumza hivyo ni nani?

Maana kusema Kiongozi wa dini nyingine, bila shaka wanazungumzia Kiongozi wa dini wa Kikristo. Ni nani?

Waislamu acheni Unafiq.
 
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!
Zubri ni PhD holder?
 
Ukishasema maoni ya wananchi yasikilizwe na yafanyiwe kazi, tafsiri yake huungi mkono maoni ya serikali, yaani umekataa mkataba, kimsingi msimamo wa BAKWATA ndio msimamo wa viongozi wengi wa kikristo na wanaharakati: MAONI YA WANANCHI YASIKILIZWE
 
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!

Wanahangaika sana nao, mara mwingine atoe tamko mwanza, mara waseme asionewe kiongozi shauri ya imani yake! Wangebaki na jukumu lao la kiimani siasa waachie wenyewe!
 
Sasa huyu ndiye Bakwdta??

Hapa ni sawa na Kibajaji aibuke na kusema
..mm ni mwanachama wa ccm tawi la (ataje Jimbo lake)
...mm ni mjumbe wa nec ya ccm .
..mm ni mbunge wa (ataje Jimbo lake).

Halafu maelezo yake ndiyo yachukuliwe kama tamko la ccm.

Huyu ni chawa wa mama tu .

Nilikuwa namheshimu sana huyu shekhe lkn kuanzia leo namfananisha na toilet paper tu
 
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!
Wafaaa
 
Na kwa mujibu wa dini yetu na imani yetu mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkbwa na hasa mbele ya wanaume
Kwa hiyo mwambieni Samia ajiuziru urais awapishe wanaume maana yeye siyo mpango wa Mwenyezi
 
Bakwata wamesema clip inayozunguka mitandaoni ikidaiwa Mufti Zubeir amesema Hapana kwa mkataba wa DP World na TPA siyo ya kweli, ni feki

Bakwata imesema wamefuatilia na kugundua mzungumzaji katika clip hiyo siyo Muislamu, hivyo Baraza linatoa Onyo kwa Viongozi wa Dini nyingine kutomuongelea kwa hila Mufti na Shehe mkuu wa Tanzania

Bakwata imesema msimamo wao ni Ule uliotolewa kwenye Baraza la Eid el Adh'haa na Katibu wao alhaj Mruma kwamba maoni ya Wananchi kuhusu Bandari yasikilizwe, yafanyiwe Kazi na Kuzingatiwa

Nawatakia Sabato njema!
Yasipozingatiwa msimamo wao unakuwa nini?
 
Back
Top Bottom