Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa chadema kuwaomba radhi waislamu alisema Naibu mufti akiwa mjini Tabora, Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna. taarifa ya habari Radio Imani.
Kachaguliwa na kina nani?

Bornvilla,

..haya ni masuala ya kisiasa, na ni vizuri kuacha kuingiza dini humo.

..Waislamu wasiingie kwenye mtego wa kumtetea huyu mama ambaye bila shaka alikuwa akishiriki ktk uhalifu wa kisiasa.

..wako wenye kustahili utetezi wa Waislamu lakini siyo huyu mama.
Hebu tuonyeshe hijabu iko wapi hapo au huo mtandio mweupe ndio mnaita hijabu.Niambie tofauti kati ya Kanzu na Hijab, muislamu?
Nani apate pa kuanzia au unasema wao wapate pa kuanzia wamenyimwa mahakama ya kadhi sasa wanataka kumalizia hasira zao kwa CDM walie na muislam mwenzao aliyewanyima siyo CDM.

Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.
Chadema hawana muda wa kuhangaika na waislam ubwabwa, kwanza lawana unazotoa hazina kichwa wala miguu wewe unaona mgombea kuwa darasa la saba ni dharau kwa waislam? hivi waislam mmesoma sana? Waambie Bakwata wahangaike kutafuta michango ya kujenga shule, hospital na mahakama ya kadhi labda ndiyo ya maana zaidi kwa wakati huu kuliko kupoteza muda kuhangaikia kuombwa radhi kwa hijabu ya mhalifu.Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.