Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
We ritz, acha kudai kuwa jukwaa la dini hauingii, mimi nahisi unatumiaga ID ya F.F
Humo humu JF, kwa ajili ya kuhisi? Nimekuambia mimi ni Pagan uwezi kunikuta Jukwaa la Dini nachangia chochote kule hakuna Mapagan wenzangu, hata mimi nahisi wewe utakuwa Tambwe Hizza tu

CDM ile dhana ya udini iliyokuwepo wakati wa uchaguzi sasa ndio wanaidhibitisha! Hii ni hatari. Kama DC alifanya kikao na kutaka kuchakachua,basi wangechukua hatua kama watu wazima wenye busara na si kufanya na kuzungumza waliyozungumza. Kwahili mimi nazidi kujikusanyia ushahidi wa udini na chuki dhidi ya Uislam. Kama dhana hii itaendelea! Tutaikumbuka miaka 50 ya amani,kwani tutakuwa katika hali nyingine ya chuki ya hali ya juu.Ni kweli tumeichoka CCM na mfumo uliooza! Hivyo lengo ni kung'oa mfumo wote na kuanza upya,lakini kwa dalili nizionazo si njema kwani kunamgawanyiko na kudharauliana. Lakini kumbukeni jipu huanza kipele na mbuyu ulianza kama mchicha. Tusipouziba ufa huu wa udini basi tutajenga ukuta kwa damu. Chadema tuombeni radhi Waislam kwa kitendo hicho! Kupuuzia,tutatangaza mgogoro mkubwa dhidi yenu. Kwani lengo lenu ni kuwatenga Watanzania kwa dini zao? Kuweni makini!

DC anaifanyia kampeni ccm kwa kutumia rasilimali za serikali halafu nyie mnashabikia huo ujinga.

Kama DC alitumwa na bakwata na basuta kuifanyia ccm kampeni hapo wana haki ya kuitaka chadema iwaombe radhi, lakini kama hawakumtuma watakuwa wanajaribu kuendelea ku potray dhana ya udini dhidi ya chadema ambayo si kweli na hata kama tukio hili lisingetokea bado kuna watu wanaendelea kuamini hivyo na wewe ni mmoja wao.

Siamini kwamba mtu anaweza kujivisha mavazi yanayodhaniwa kuwa maalum kwa dini ya kiislamu na kufanya uhalifu then vyombo na taasisi za kiislamu wajitoikeze kumtetea. Kama mnataka kutuaminisha kwamba mtandio nao umegeuka kuwa hijabu basi wanawake waislamu nchi hii ni wengi mno. Hata mimi mke wangu huwa anafunga mtandio ingawa si muislamu, inawezekana ni muislamu wa kimya kimya.

Kama wana matazamo finyu namna hiyo ndiyo maana muislamu mwenzao kawapiga changa la macho kwenye mahakama ya kadhi,kwani ameona hawabebeki hawa maana akiwapa hiyo mahakama mwishowe watataka hata wakioa serikali iwalipie mahari na gharama za sherehe. BAKWATA inawadhalilisha sana waislamu wenye weledi.

Humo humu JF, kwa ajili ya kuhisi? Nimekuambia mimi ni Pagan uwezi kunikuta Jukwaa la Dini nachangia chochote kule hakuna Mapagan wenzangu, hata mimi nahisi wewe utakuwa Tambwe Hizza tu
heheheheeeeeeeee. Ritz hapo umehisi wrong! Huyo tambwe hizza simjui. Poa mkuu. Endelea na kazi iliyokuleta jf. :)

Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.

We nenda kwenye uhalifu na kanzu mfano kuvunja nyumba kwa nia ya kuiba halafu ufikiri utakapokamatwa wataiheshimu kanzu yako. Utachomwa moto pamoja na kanzu yako. Ndicho kilichomkuta huyu Dc aliyekuwa anapanga njama za wizi. Yeye ndio anaepaswa kuiomba radhi dini yake kwa kuenda kwenye wizi na kinachoitwa vazi la dini.

Hivi hijabu ni vazi la DC vazi la Waislamu? Kuna uhusiano gani wa hijabu kama vazi la DC? Huyo DC kama ni mwislamu alikutwa kwenye shughuli za ibada? Ninapenda kujua yule kiongozi wa CCM aliyezini na mke wa mtu huko Igunga alikuwa wa dini gani na mwanamke alikuwa wa dini gani? Isije ikawa walikuwa Waislamu wote na bila shaka kulikuwa na kuvuana hijabu lakini Waislamu hawakutoa tamko. Kipi kibaya zaidi kati ya DC ambaye ni Mwislamu akavuliwa hijabu (kwa bahati mbaya) katika purukushani za DC kukamatwa akifanya mambo yaliyo kinyume na sheria na lile suala la kiongozi aliyefanya zinaa ( hata kuvuliwa hijabu).

Bakwata muwe macho na CCM. CCM watawatumia kama Kondomu lakini wakishamaliza kuwatumia watawatupa kwenye shimo la takataka. Kumbukeni wakati walipotaka kura za Waislamu waliweka kwenye ilani yao ya uchaguzi wa mwaka 2005 luanzishaji wa mahakama ya kadhi lakini leo hawataki kuwaeleza kwamba walikuwa na maana gani kuweka lile suala la Mahakama ya Kadhi kwenye ilani wakati hawakuwa na nia ya kutekeleza?

Let us be scientific. Kama kuna reasobable suspicion kuwa uhalifu unataka kufanyika/zinapangwa mbinu za kufanya uhalifu na wahusika ni Askofu, sheikh, etc wamevaa mavazi ya dini , huwezi kuacha kumkamata kama sheria inavyotaka eti kwa sababu kavaa kofia ya uaskofu au kanzu etc. After all katika hali ya kumkamata mtuhumiwa, lazima purukushani zitokee, and common sense tells that a cloth just laid on the head without fixing support is likely and very likely to fall out. Tufikiri mbali zaidi tusilete udini maana kinachojitokeza zaidi hapa ni issue ya dini.

unaona mbali sana!

BAKWATA NA BASUTA. Mademu kibao na mijimama inajiuza ikiwa na hizo Hijab na Baibui zenu anzieni hapo kwanza! Wanavuliwa chupi ije kuwa Hijab? Hi mishehe bwana akili zao finyu kabisa! Pigeni kelele wakina Abdala zombe waache kuuwa watu mnalalamika vi2 vya kipumbavu2,

Mbunge wa CAF alikuwa Mwanamke alidhalilishwa kweli na Vyombo vya Usalama
1. Alipekuliwa na kuchekiwa na Polisi Mwanamme isivyopaswa na aliomba Mwanamke ampekue
2. Aliwekwa Rumande na Wanaume hata kubadili nguo ilikuwa shida
3. Alipigwa na kulazwa jela na wanaume kwa Wiki Moja

Kama ni upendo kwanini hawakukemea hali hiyo? Ina Maana hakudhalilishwa utu wake? au kwao yeye hafau sababu ni Mkristo?
Au ndio hiyo double standard ambayo nchi yetu chini ya CCM inataka kuibadilisha?

Kama hivyo vyombo vya kidini vanaanza kuangalia Mtu kwa udini ni dhambi hata kwa Mwenyezi Mungu...

Huyu kwao ni Kaffir, maana anakula Kitimoto nao wanakula nyama ya Ngamia.

Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa chadema kuwaomba radhi waislamu alisema Naibu mufti akiwa mjini Tabora, Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna. taarifa ya habari Radio Imani.

Mna kazi kweli kweli na magamba...........na bado hampewi mahakama yenu ya kadhi.....hivi alivaa hijabu au mtandio?

DC-IGUNGA-NA-CHADEMA.jpg

DC-IGUNGA-NA-CHADEMA-1.jpg

kuna kazi kubwa sana ya kuuelimisha huu UMMA wa kizazi cha mtoto wa kijakazi.

Mm ni muislamu kwanza na-declare interest lakini siungi mkono kitendo cha hawa wanaojiona viongozi wa dini yetu kuwa wanatoa matamko ya kipuuuzi km haya, Chadema ni ya waislam na wakristo i.e watanzania. Dini hairuhusu muislam kufanya vikao vya uhalifu (wizi) kisa eti kavaa hijabu. Ina maana leo sheikh mkuu akimbaka mtoto wa miaka tisa akiwa kavaa kanzu na kibaraghashia tutaacha kumshika? DC kwanza hajavuliwa hijabu hawa viongozi wetu wanatumiwa na wanasiasa mafisadi kiasi cha kufanya cc waumini wao kuwadharau.

Baada ya wewe kusema maneno haya yaliyo jaa busara na hekima basi mie sitasema lolote bali nitasoma wengine wanasemaje .I wish tungalikuwa waislam wengi kama wewe wenye kuona ukweli .

CDM ile dhana ya udini iliyokuwepo wakati wa uchaguzi sasa ndio wanaidhibitisha! Hii ni hatari. Kama DC alifanya kikao na kutaka kuchakachua,basi wangechukua hatua kama watu wazima wenye busara na si kufanya na kuzungumza waliyozungumza. Kwahili mimi nazidi kujikusanyia ushahidi wa udini na chuki dhidi ya Uislam. Kama dhana hii itaendelea! Tutaikumbuka miaka 50 ya amani,kwani tutakuwa katika hali nyingine ya chuki ya hali ya juu.Ni kweli tumeichoka CCM na mfumo uliooza! Hivyo lengo ni kung'oa mfumo wote na kuanza upya,lakini kwa dalili nizionazo si njema kwani kunamgawanyiko na kudharauliana. Lakini kumbukeni jipu huanza kipele na mbuyu ulianza kama mchicha. Tusipouziba ufa huu wa udini basi tutajenga ukuta kwa damu. Chadema tuombeni radhi Waislam kwa kitendo hicho! Kupuuzia,tutatangaza mgogoro mkubwa dhidi yenu. Kwani lengo lenu ni kuwatenga Watanzania kwa dini zao? Kuweni makini!

@Bornville,
Miongoni mwa watu waliouwawa na polisi tarehe 5 January Arusha alikuwepo mwislam. Lakini sio BAKWATA wala BASUTA aliyetoa kauli ya kulaani mauaji hayo ya mwislam asiye na hatia! Sasa huu uhalali wa kuongelea vilemba na hijabu unatoka wapi? Uhai wa mwanadamu na kilemba nini kikubwa? Nini hasa kazi za hizi taasisi mbili (BAKWATA & BASUTA)? Siasa au maadili mema? Kumuua raia asie na hatia ni maadili mema? Na tukiwa kwenye maadili mema, DC alikuwa na uhalali gani kuongoza kikao cha kuhujumu raia HAKI? Hawa BAKWATA & BASUTA wanadhihirisha kitu kimoja kwamba wao ni mavuvuzela wa ccm. Inasikitisha!

Nimepata njia ya kufanya uharifu, nitakuwa nikiwatumia wanawake waliovaa hijabu ili iwe ngumu kuwakamata kwasababu hijabu yaweza kuwavuka na itawakwaza waislam

Mkuu hatetewi mama ila suala la kumvua hijab/mtandio ambao unaambatana na imani ya dini yake ndilo suala hapa. Hao masheikh hawajaingilia siasa wamesema kuhusu vazi. Mambo haya huanza taratibu na kisha huwa makubwa na mara nyingine hupigwa fwatwa. Kumbukeni yaliyompata Mrema.

Hivi ile Albadil mliomsomea Mrema ili awe kichaa ilifua dafu? (kazi kweli kweli)

Walimkosea wangetakiwa wamvue ile nguo yakwanza kuvaa ndo angeshika adabu yakuingilia mambo ya watu

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom