Tetesi: Bajeti kuu ya Serikali haiwezi kupitishwa bila Wabunge wa Upinzani kuwemo. Tutegemee tamko baada ya kura

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Natumai CC iliyoketi karibuni inaonyesha dira ya kupunguza uhasama na kuridhia mjadala Katiba. Wasipoteze muda wao , sijui trik ya kujiuzulu kwa hiari itawapa Fao lolote?
 
Maisha Ni Vita babu .hayo Ni maisha ya kisiasa Ni akili yako na ushapu wako kungamua wapi utapata pesa kwa mbinu zozote ulitaka Nani waende bungeni

Hata hao wa bunge wa ccm wengi wako pale isivyo halali hili hawalisemi hkn mbunge pale hata tulia Yuko pale isivyo halali jaribu kulitazama hili kwa wabunge wengi jins walivyo ingia kimazabe so wakina mdee wapambane maisha Ni vita
 
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura...
Kwahiyo Jo,unatakakusema kuwa kura haramu ni halali au una maana Gani,Na je ikiwa hivyo kilichopogiwa kura kitakuwa halali au haramu?
 
Sipati picha furaha watakayokuwa wana-chadema pale hao wabunge wakifukuzwa. Bila shaka hawa wakina mama wamewapanda wanaume wa chadema vyakutosha.
Acha dharau mjumbe,hawawezi na hawana uwezo huo na SII tabia ya binadamu.
 
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Tangu lini Chadema iliwahi kupitisha bajeti ya serikali, na walivyokuwa wanatoka nje ya bunge je bunge lilihairishwa?

Yani katika Wahehe wajinga wa kwanza ni Yericko Nyerere wewe unafuatia.
 
Kwani upinzani lazima wawepo chadema? Tuna vyama vyingi vya upinzani nadhani Cuf, ACT wangewakilisha tu inatosha
 
Tangu lini Chadema iliwahi kupitisha bajeti ya serikali, na walivyokuwa wanatoka nje ya bunge je bunge lilihairishwa?

Yani katika Wahehe wajinga wa kwanza ni Yericko Nyerere wewe unafuatia.
Wewe unadhani kwanini Ndugai, Mbowe na Mashinji walibariki uwepo wa Halima Mdee na wenzake 18 bungeni?

Umeshaona orodha mpya ya Wabunge 19 wanaotakiwa na mamlaka kutimba bungeni?

Chadema ni zaidi ya unavyojua bwashee Matola
 
🐒🐒🐒
16559808700323.jpg
 
Kwahiyo Jo,unatakakusema kuwa kura haramu ni halali au una maana Gani,Na je ikiwa hivyo kilichopogiwa kura kitakuwa halali au haramu?
Hao ni wabunge halali hadi pale Spika Tulia ataka vyotangaza vinginevyo
 
Inaelezwa kuwa uhalali wa Bajeti kuu ya Serikali unapatikana pale Wabunge wa kambi zote wanapochangia kwa kuijadili na mwisho Kuipigia Kura

Wabunge takribani 25 wa Upinzani wakiwemo 20 wa Chadema, 4 wa ACT wazalendo na 1 wa CUF wamejadili Bajeti ya 2022/23 na Leo wataipigia kura

Baada ya Bajeti kuu ya Serikali kupitishwa ndipo mambo mengine ya mwisho mwisho yataangaliwa ikiwemo hilo la barua ya Chadema kutoka Mahakama kuu

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Wale 19 si wabunge wa upinzani kwani walifukizwa uanachama siku nyingi, endapo wataruhusiwa kupiga kura huo utakuwa ni muendelezo wa utapeli unaofanywa na CCM miaka yote.
 
Back
Top Bottom