Aliyetangaza Ajira ni TAMISEMI au WIZARA YA AFYA. Tuache ushabiki wa kijinga na kukurupuka kwa vitu tusivyovijua. Stori umeambiwa kijiwen hata kabla ya kuitafiti unaleta JF, rudi kasome vzuri sasa ndio uje na upupu wako uwashike Ma Mburula wenzako.
sahihi mkuu watu wanqjichanganyaAliyetangaza Ajira ni TAMISEMI au WIZARA YA AFYA. Tuache ushabiki wa kijinga na kukurupuka kwa vitu tusivyovijua. Stori umeambiwa kijiwen hata kabla ya kuitafiti unaleta JF, rudi kasome vzuri sasa ndio uje na upupu wako uwashike Ma Mburula wenzako.
Mwaka wa fedha 2017/2018 bajeti ya wizara ilikua 1.1 trilion na serikali haikuweza kuajiri watumishi wapya mwaka huu wa fedha bajeti n 890+ billion pungufu ya kiasi cha bil mia 200+ na serikali imetangaza ajira 8000 katika wizara hii. Inawezekanaje hili jambo au mishahara na allowance za watumish haiztokani na bajeti ya mwaka ya wizara husika!?? Naomba kufahamishwa wakuu.
Kwani mtu kufanyiwa usahili na kuajiliwa inatumia kiasi gani?Mwaka wa fedha 2017/2018 bajeti ya wizara ilikua 1.1 trilion na serikali haikuweza kuajiri watumishi wapya mwaka huu wa fedha bajeti n 890+ billion pungufu ya kiasi cha bil mia 200+ na serikali imetangaza ajira 8000 katika wizara hii. Inawezekanaje hili jambo au mishahara na allowance za watumish haiztokani na bajeti ya mwaka ya wizara husika!?? Naomba kufahamishwa wakuu.
Mbona wewe unazitafuna unavyotaka hapo DSM Mkuu?Hakuna kutafwuna ovyo na walafi pesa za wananchi sasa hivi..
Sikuizi naona unanikimbia punguza woga.
Ha ha haaaaaa
Nimebanwa na shemeji yako jamani.. nae anataka muda.. maana JF inataka kuwa mpinzani.. halafu kumbuka mimi sina chama.. ni mdau wa JF tu
Aendelee kukubana tuu ili baada ya miezi Tisa mvune
Eeeeeeh
Tulishamaliza kuvuna na tunamshukuru Mola kwa tulionao.
Nitakusubiria wewe.. watatu watakujia wewe kwa pamoja.. pokea baraka kwa kusema.. Amina.
we jamaa nae muongo kwel hata kama ni mapenzi na serikali sio hivo aisee, unataka kutwambia hao 8000 wataanza kufanya kazi kabla ya mwaka wa fedha 2018/2019? hawa kuja kuajiliwa mpaka mwezi wa 8 au wa 9 huko, sasa iweje watumie bajet ya 2017/2018 ambayo tayar tumeshaambiwa imetekelezwa chin ya 40%?Jitahidi kuwa mwelewa kabla ya kupost na uache uongo! Yaweza kuwa huelewi,ajira 8000 zilizotangazwa na serikali ni bajeti ya mwaka 2017/2018 ambayo inaishia juni 30 2018,hizo bil 890+ ni bajeti ya mwaka ujao wa fedha unaoanza julai 01, 2018 hadi juni 30, 2019 ambapo kiasi hicho cha fedha bado hakijaanza kutumika.
Ameen.
Umekuja na mbinu mpya ya utapeli? Kujifanya mcha Mungu?