BAJAJI ya kwanza kutengenezwa na Mtanzania "imekosa kibali'

Tumefikia ujinga wa kiasi hiki? Kuna uvumbuzi hapo? Huo mkokoteni wenye mota uliopigiliwa mabati ni uvumbuzi?
Na hii bdio sababu hatuendelei, uvumbuzi hianza hivi, hata Toyota ya kwanza ilikuwa kitchekesho ukiilinganisha na za leo. Lakini huwezi kuenda km100 bila kuanza na hatua moja. Nilitegemea humu ndani mmpe mawazo ya kuboresha alichofanya, badala yake anapondwa. India walianza kutengeneza TATA kwa kuagiza vitu vingi Ujerumani, leo hii tuna TATA station wagon. Kama wahinsi wangemzodoa TATA wakati anaanza leo hii India isingekuwa hapo ilipo kiteknolojia.
 
Wanajitahidi shida ya wavumbuzi wengi wa bongo finishing ndo inawashinda.
Mchina utupigia kwenye finishing.Finishing ndo inauza product.Indonesia, Malaysia vijana wadogo tu Chini ya mti wanasuka body za mabus kwa welding machine,grenda,nk kwa naksi na finishing kali mchina akasome.Hizo bus zikingiia bongo unazungumzia milioni 500.
 
Nothing special there. Hii haina hadhi ya kuitwa ''uvumbuzi'' unless uwe hujui ni nini maana ya uvumbuzi.
 
We unatarajia nini kama siyo kunyimwa ?. Wewe fikiria akiwa wenye dhamana ya kumpa hivyo vibali ukiachilia mbali sindano hata gari la mbao tu hawajawahi kitengeneza .
Wivu, chuki kwanini yeye ? ndyo vilivyopelekea mzee kukosa kibali cha ugundizi wake , hapa ndyo napoamini tz ni mahali pagumu sana kuishi maana ni nchi ambayo haithamini ugunduzi wa raia wake .
 
Kwa nn aige bajaji angefanya kitu tofauti hapo amepiga chabo bajaji za watu wala sio uvumbuzi
 
Wanajitahidi shida ya wavumbuzi wengi wa bongo finishing ndo inawashinda.
Mchina utupigia kwenye finishing.Finishing ndo inauza product.Indonesia, Malaysia vijana wadogo tu Chini ya mti wanasuka body za mabus kwa welding machine,grenda,nk kwa naksi na finishing kali mchina akasome.Hizo bus zikingiia bongo unazungumzia milioni 500.
Picha please ya izo bus
 
Kuna calculations za Mechanical design sidhani kama zimefanyika hapo ambazo zingine zinahusisha usalama wa chombo.
Vinginevyo itakuja kuwamwaga watu kwenye kona.
Kama ulishawahi kuchunguza zile bajaji za kutoka india utakuta kwenye kona kali au mteremko huwa inaswing/inalala kabisa kisha baadae inarudi yenyewe kwenye position yake bila kupinduka,hiyo ni kwa sababu kuna calculations zimefanyika za kiusalama.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Picha please ya izo bus

Screenshot_20210510_193159.jpg

Screenshot_20210510_193118.jpg

Screenshot_20210510_193126.jpg

Screenshot_20210510_193135.jpg
 
Back
Top Bottom