Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

Rawasen

Senior Member
Aug 11, 2014
156
51
Huu Wimbo Nimeusikia Muda Si Mrefu Jinsi Anavomsifia Lowasa Lakini Sijajua Nianze Kusema Nini
Ni Lowasa Anamjua Sana Mungu

Maana Nimesikia Akisema Lowasa Atatawala Kwa Amani, Lowasa Amepakwa Mafuta, Lowasa Yupo Kama Mfalme Suleimani
Udini Au Ni Njaa Tu Au Ndo Viti Maalumu

Utafuteni Muusikilize
1. MSINGI WA SIASA NI MUNGU SIO BAHATI BUKUKU.

Hakuna alichokifanya Bahati zaidi ya jukumu na wito wake.soma maandiko haya kisha hitimisho kwa chini.ila kama ni wale mliotumwa kutekeleza ile siri iliyovuja, hata kama ukisoma haitokusaidia.

1.1. Rumi 13:1-3 "..hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, Na kila iletwayo, Imeanznishwa na MUngu".
SWALI: Je alilofanya Bahati limetokaje kwa shetani?

1.2. (1 Timothy 2:1-2.).."waombeen, watakie heri na washukuruni watawala wote"
SWALI: Kama tunapaswa kuwaombe, na kila siku wachungji watufungisha kavu kuwaombea imekuwaje dhambi lifanyikapo hilo kwa nyimbo? Ni kukua au utoto?

1.3 Mathay 28:18. Mamlaka yote mbinguni na duniani ni yangu.
SWALI: kama mamlaka ni ya Yesu, Imekuaje Bahati ashutumiwe kafanya kwajili ya Lowassa na sio , na sio kazi ya mwenye mamlaka hyo?

1.4 Mithal 14:34.." Mwenye haki huliinua taifa bali mwenye dhambi huliangamiza.
SWALI: Kama Bahati hawezi kumuinua kiongozi afaaye kwa taifa atawezaje kuliinua taifa kama mwenye haki?

1.5 Jeremia 29:7 …."Yatake maslahi ya mji niliyo kuagiza kwanza"
SWALI: Maslahi ya TZ kwa sasa ni Kiongozi tumtakaye. Je kaenda zaidi ya hapo?

2. HITIMISHO.:
Japo ni kawaida wajinga kuwa wabishi kuliko welevu, kama hukunielewa kwa maandiko basi shaurika kuwa, WITO wa mtu, una yeye na Mungu aliyemtuma na nini afanye. Pia, Bahati ni mtu ambaye kama humjui, utajikwaa sana, ila nikati ya watu adimu walio makini na Huduma na Wanaoishi kihuduma. Hawezi kufanya kitu, kama Mungu amemkataza. (Mtafute kwa shuhuda)
Kinacho tusumbua kwanza ni wale waliona pipi midomoni za wagombea wanahaha why Lowassa?
Pili ni ufinyu wa kuelewa kazi za mwimbaji wa gospel na mapana ya huduma ya mwimbaji iko wapi.

TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. WOKOVU SIO KUZIFYATUA, NAKUISHI PEPONI KABLA HUTUJAFIKA.

3. USHAURI.
Humu sio Bungeni kunakolindwa hata kauli zisizo faa.. Kauli za kumdharirisha mtu, hakikisha unautetezi wake wa kisheria kabla hujazitoa.

Kuzingatia ni chaguo lako.

BAHATI SONGA MBELE NA HUDUMA. ASIPOPATIKANA ATHAMINIYE LA MUNGU, TUTALIFANYIA WAPI LA MUNGU LA SHETANI LISIWE KIKWAZO?

REV. MOSES J


 
Mimi namalizia mchoro wa picha ya Lowassa akiwa anaaapishwa (just an imagination) nakuhakikishia ntapiga milioni 15 kwny hii.

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"
 
Ndo mana manabii wa uhongo wanaishia kuwapa mimba na kuvunja ndoa zao.....Lowasa hana tofauti na yule aliyemuimba kwenye wimbo
wa mfalme wa Aman sasa anatuimbia nini hapa....Pengne kakosea kuandika badala ya ku Un-like yeye ka-like!!!Natabiri Bahati B-kajiua kimziki.
 
Mimi namalizia mchoro wa picha ya Lowassa akiwa anaaapishwa (just an imagination) nakuhakikishia ntapiga milioni 15 kwny hii.

Mwaka wa kuvuna mapesa huu wakuu
"Kula CCM, Kura UKAWA!"

Hahaha
Kula-ccm
Kura-UKAWA
 
Hadi wanaapolo wana rap mashairi ya kumfagilia Lowassa ... Huyu ndo Rais atakae ondoa ombwe la Uongozi katika nchi hii...
 
Huyo Dada ni njaa tu inamsumbua mwaka Jana kwenye uzinduzi wa albamu ya Bahati Bukuku pale TPA, lowassa alikuwa mgeni rasmi alimpa mil 25 ndiyo hizo zimemchanganya saiv anampambapamba Huyo low hasa wake.. kweli njaa mwanaharamu
 
Kwanza noti inatafutwa, pili kujiweka karibu (nafasi moja kati ya kumi za ubunge za Rais), tatu debe tupu alikosi ukoko.

Huyu kama msanii wa nyimbo (siyo za kumtukuza Mungu) mipasho na kudai usawa huwa aimbi kumsifu Mungu bali anaimba kusaka shekels, so tusishangae sana wadau.
 
Back
Top Bottom