Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
-Lakini hili suala si bado linaendelea kuidhalilisha nchi?Nadhani our intergrity and dignity imeonekana si kitu tena
-Hao jamaa warudishe hizo hela kupitia channel ya Serikali ya Tanzania na kuomba serikali izingatie au itoe priority kwa hizo charity groups.Sasa hapo ni kama tumepewa Msaada,hiyo Move yao inaidhalilisha nchi.Ingawa sisi tumetoa mazingira ya kudhalilishwa kwa kuruhusu mijitu isiyo mizalendo kusaini mikataba ya ajabu and yet hakuna mtu anayetaka kuwawajibisha,still nadhani wangerudisha hizo hela kupitia serikalini.
-Infact serikali nayo ikikomalia hapa nitaishangaa maanake hawaku-fight kuhusu hizi hela.Na still haijawachukulia hatua watuhumiwa waliosababisha yote haya,najua Membe atatumia mbinu ya Diplomasia chafu kusema huu ndo ushahidi,but ataendelea kulidhalilisha Taifa.Hii ni serikali ya kushangilia matukio bila kuwajibika.But,ukweli unabaki pale pale kuwa BAE wakifanya hivi ni fedheha.Na pia hizo charity Groups watakazochagua watahakikisha vipi kama hakuna maslahi yao huko?