Bado yapo haya!?

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
DSC09119.jpg
 
duh...yani kuyaona tu mate yameanza kunitoka...umenikumbusha longi sana...hilo moja lilikuwa linaliwa na watu karibia kumi na linatosha
 
Kiongozi umenikumbusha kitambo sana hivi vipi kitu mabungo bado yapo kweli, nayo tulikuwa tunaweka pilipili kwa mtindo huu kiaina wacha bwana
 
yapo...ila siku hizi ubrothermen na usister duu umeshamiri,huwezi kuta mtu anakula hivyo siku hizi...kweli old is gold jamani!

yaani kuyaona tu,mate kibakuli...itabidi niyatafute nikumbuke enzi!
 
duh...yani kuyaona tu mate yameanza kunitoka...umenikumbusha longi sana...hilo moja lilikuwa linaliwa na watu karibia kumi na linatosha

duuh...zile za nimegee hadi kwenye asikirimu...unatia mate lakini bado mtu kakomaa tu anataka,hadi umpe!
 
yapo...ila siku hizi ubrothermen na usister duu umeshamiri,huwezi kuta mtu anakula hivyo siku hizi...kweli old is gold jamani!

yaani kuyaona tu,mate kibakuli...itabidi niyatafute nikumbuke enzi!

Mkuu kweli amekukumbusha mbali yani hadi avatar yako umeliweka moja!
 
Daah ! hayo mzee yalikuwa yanaleta ugomvi wakati wa kugawana nani anastahiki kula kokwa.
 
Du wajameni tunakumbushana mbali!!!!! enzi za shule ya msingi hizo. Unaambiwa hata ukija na embe changa utazusha ugomvi sana! Afu kuna mshkaji kanikumbusha mabungo! hivi yale matunda bado yapo kweli?
 
Du wajameni tunakumbushana mbali!!!!! enzi za shule ya msingi hizo. Unaambiwa hata ukija na embe changa utazusha ugomvi sana! Afu kuna mshkaji kanikumbusha mabungo! hivi yale matunda bado yapo kweli?
Mabungo yako adimu kutokana na misitu mingi kukuingiliwa na makazi ya watu. Kwani yale yalikua matunda ya porini.
 
Mnakumbuka embe ng'ong'o zile ambazo kokwa lake lina miiba, mafenesi, madansi ( ile jamii ya machungwa makubwa ka kichwa cha mtoto). Mawazo Potofu tuliyojijengea ni kuwa sasa hivi kula hayo ni ushamba bwana watu wanywa juice ya pakiti, burger, ice cream etc.

It is obvious huwezi kuwa kwenye benzi ukaanza kula mabungo mafenesi and other traditional fruits.

Jiulize nani anakula miwa siku hizi, viazi vya kuchoma, ndizi za kuchoma ( wale wanaoenda bar wanabahati kupata hizo), Kisamvu, mboga za majani ya maharagwe au kunde. Kuna togwa, ufuta, kashata hakuna nutritionist afanye tafrija ya vyakula asili vya kitanzania.
 
Pale Bukoba Mjini - Karibia na Posta - opposite Bilele/Bukoba Sec: Kulikuwa na Mtanzania mwenye asili ya Ki-Asia (Mital) : Aliuza sana hii kitu: Wakati wa Break ulikuwa ni ugomvi! (early 80's)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom