Bado unaishi nyumba ya kupanga na mpenzi wako...Jenga ya kwako ndani ya miezi sita!!!

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,585
4,270
Sio kwamba nawadharau watu wanaoishi nyumba za kupanga kwani hata mimi ndio niko kwenye jitihada za kutoka huko. Naamini ni ndoto ya watu wote siku moja waishi kwenye nyumba zao na ni ukweli usiofichika kuwa ukiwa kwenye nyumba yako unapata amani kwa kuepuka usumbufu wa wenye Nyumba na uhusiano wako unaimarika.
..Nilikuwa nimesafiri kidogo nje nikakutana na watu wano fanya biashara za mtandao, japo nyingi ni za kiutapeli ila kuna moja nimeona wengi wanafanya kama mchezo ila inawalipa na haigharimu chochote
jaribu kufungua
IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit

naamini ukiwa na muda kwenye internet na ukiunganisha watu wengi; ndani ya miezi sita utaweza kujenda nyumba yako
 
brother hii mbona sijaielewa kwani baada ya kuona tu ile link niliwatumia watu zaidi ya 500 na mpaka sasa nina usd 180.lakini sasa jins ya kupata hayo malipo ndio nimeshindwa.hebu nijuze brother bifanyeje?
 
brother hii mbona sijaielewa kwani baada ya kuona tu ile link niliwatumia watu zaidi ya 500 na mpaka sasa nina usd 180.lakini sasa jins ya kupata hayo malipo ndio nimeshindwa.hebu nijuze brother nifanyeje?
 
brother nimetuma kwa watu kibao na account yangu inaonesha nina dola 180.lakini jins yakupata ndio sielewi.kuna sehem chini inabidi uweke e mail yako kwa ajili ya malipo lakin ukiweka e mail hakuna kitu chochote kinachotokea.kama wewe umewahi kufanya kitu kama hichi hebu naomba unijuze
 
Back
Top Bottom