Bado siku 7 dowans walipwe.

WJN

Member
Nov 6, 2010
54
0
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo.
 
Dowans kulipwa sio ishu kwani madudu mangapi yamefanyika wabongo tunapumbazwa na watu wanachekelea bada ya kupewa ahadi ya maisha bora?

"Hata kama nchi ikiuzwa leo amani na utulivu vitaendelea kutawala"

WENYE MOYO WANAJENGA, WENYE MENO WANAKULA!
 
Back
Top Bottom