Bado sijaelewa

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,231
113,593
Ni kwamba serikali imekubali kutungwa kwa katiba mpya au imekubali kuipitia ile ya zamani na kuifanyia marekebisho?

I'm kinda not clear on this because I keep hearing confusing messages. Does anyone know which is which?
 
Kitu gani hujaelewa, mswada uliosomwa bungeni kwa mara ya kwanza j4 iliyopita unazungumzia kufanyia mapitio katiba iliyopo.
 
Ipo wazi wanachotaka kufanya ni marekebisho ya katiba iliyopo tu. Kama hawakubali muungano kujadiliwa je kuna nini. Kama hawataka tujadili uraisi kuna nini kitakachofanya iitwe katiba mpya? Tukiwa na serikali tatu tutakuwa na katiba mpya......
 
Kwa hiyo hawajaridhia utungwaji wa katiba mpya! Sasa kwa nini watu wanahangaika kwenda kutoa maoni yao? Au wameridhika na kufanyia marekebisho hiyo katiba iliyopo?

Mwenzenu nilidhani kilio cha wengi baada ya uchaguzi kilikuwa uundwaji wa katiba mpya.

We are not serious.
 
Back
Top Bottom