Bado haujachelewa angalia hawa

VISIONEER

Senior Member
Apr 29, 2011
141
20
[/attach][/attach]

usikate tamaa bado haujachelewa
 
Attachments

  • NDOA YA WAZEE.JPG
    NDOA YA WAZEE.JPG
    45.2 KB · Views: 141
  • NDOA YA WAZEE 2.JPG
    NDOA YA WAZEE 2.JPG
    68.2 KB · Views: 119
  • NDOA YA WAZEE 3.JPG
    NDOA YA WAZEE 3.JPG
    50 KB · Views: 143
Lazima zidumu maana life expectancy 47 years wao wameoana wakiwa na 55 years (probably) Maanake wameshakopa muda wa kuishi. Kudumu miaka miwili au mitano kwani kazi?

ndoa kama hizo,ndio zinadumu na zinakuwa na mapenzi ya kweli
 
Umri wa kuoa na kuolewa ni 25-30 years, km umezidi hapo umechelewa, na km ni chini ya hapo Umewahi!
 
heheeh hawa sjui kama hawakufikishwa hapo kanisani kwa wheel chair? khaaa! halaf mdingi umekula sunglass kuliko la cyborg, aisee!
 
Mbona mnataka kubadilisha maana ya picha. Hawa wazee hawakupiga hiyo siku cku ya harusi, bali cku ya wapendanao(V-day). It means they r blessing and praise their wedding.
 
Lazima zidumu maana life expectancy 47 years wao wameoana wakiwa na 55 years (probably) Maanake wameshakopa muda wa kuishi. Kudumu miaka miwili au mitano kwani kazi?
kwa ndoa za sasa ni kazi.bora ya miaka 2 au 5 lakini iwe ya furaha,kuliko 10 au 15 iwe haina furaha
 
HII SIO ANNIVERSARY WEDDING, HAO NI WANANDOA WAPYA NA IMEFANYIKA HUKO SOWETO.
MWANAMME ANA MIAKA 67 DAN TSHAMA, NA MWANAMKE ANAITWA JOYCE DLAMINI 65 WALISHEREKEA SIKU YA WAPENDANAO KWA KUOANA.
Pensioners wedding - PHOTOS - Sowetan LIVE

Pensioners wedding - PHOTOS
Pensioners Dan Tshama, 67, and Joyce Dlamini, 65, celebrated Valentine's Day by getting married.

Back
Top Bottom