Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

Nadhani ccm hawakai kama Kamati katika kupendekeza kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.

Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?

Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.

Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafsi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?

Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.

Ccm bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
Kuteua na kutengua ni njia ya kujiimarisha.
Baadhi ya watu ukiwapa cheo furani wanahaha nchi nzima kusumbua watumishi ambao wapo chini ya mamlaka nyingine.
Mtu kama huyo lazima umuondoe, kama unadhani bado ana sifa utampeleka eneo lingine.
 
Hana sifa, kabebwa tu. Makonda hafai hata ujumbe wa mtaa
 
Alafu naskia mwenezi mpya ni miongoni mwa mtoto pendwa sana ndani ya list yake!!
Siyo suala la kusikia. Ndiyo kilichombeba

Mm nilipoona yule wa mwanzo amekazana kumuabudu jiwe kwenye mikutano yake nikajua tu huyu hatadumu
 
Hiv ukisha hudum ndani ya chama ndo huwez kubadilishwa mazima maana wale waliowekwa kando ninaona wakirudishwa tz kunatatizo na inakera sana
Ni muendelezo wa ule usemi "ccm Ina wenyewe". Hao ndiyo wenyewe Sasa.
 
Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.

Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?

Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.

Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa Katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafsi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?

Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.

CCM bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
Makala hata dumu, hana ushawishi. Kwasasa hatuhitaji mwenezi father tunataka mwenezi kijana mwenye vibes. Makala mpenda rushwa. Team JK inayumbisha sana chama kwa mtazamo wangu. Bado sioni kwanini Makonda katoka. Mapungufu yake angeweza ambiwa tu abadilike.
 
Siyo suala la kusikia. Ndiyo kilichombeba

Mm nilipoona yulewa mwanzo amekazana kumuabudu jiwe kwenye mikutano yake nikajua tu huyu hatadumu
☹️☹️, upo sahihi kabisa.. Legacy ya kipara wanatamani ifutike mapema sana..
 
Bado sioni kwanini Makonda katoka. Mapungufu yake angeweza ambiwa tu abadilike.
Huyu alikuwa anamdimiza mama na kumpa promo marehemu.

Mama akaona kama Makonda ana lengo la kuzima na kuzika nyota yake na kuiwasha nyota ya jiwe.

Wakamfyekelea mbali Makonda.
 
Ingelikuwa na hazina kiasi hiki isingekuwa inahangaika. Hata jiwe alilazimika kukopa mawaziri toka nje ya ccm. Yaelekea ccm ukame wa watu weledi na waadilifu
CCM kumejaa mafisi Jakaya
CCM hawaachiani maji mezani Jakaya
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.

Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?

Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.

Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa Katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafsi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?

Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.

CCM bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
Kesho unaweza sikia masha love au steve mengele katibu mkuu
 
Lipo kundi fulani lenyewe linatazama tu kinacho endelea na kuweka mikakati A.
 
Kama ni lile la Kanda pendwa liendelee kuomboleza tu. Watoto wa mjini kamwe hawaachi bucha wazi kwa kwa washamba tena
 
Ipo Siku hao washamba watageuza juu chini kuhusu hii nchi , kiufupi hii vita ya mgawanyiko ndio imeanza na hakuna wa kuizima ni suala la Muda tu , washamba waombe nao nchi yao
 
Nadhani CCM hawakai kama Kamati katika kupendekeza kuchambua na kupitisha nani awe nani ndani ya chama. Yawezekana maamuzi mengi hutegemea mahaba na mapendekezo ya mtu au kikundi cha watu wachache. Sina hakika na hili ndiyo maana nimetumia maneno nadhani na yawezekana.

Ukiangalia kwa nje, wanaccm wengi walifurahia sana uteuzi wa Makonda kuwa mwenezi na wamepigwa na butwaa baada ya kutenguliwa. Sasa unajiuliza ikiwa demokrasia ilifanya kazi ya kumteua iweje isitumike kumtengua, mpk inaacha malalamiko?

Hii ni ishara kuwa kuna kikundi cha watu wachache ama mtu mmoja (mwenyekiti) ndiye huamua nani awe ni nani ndani ya chama.

Pili, Jokate Mwegelo aliyeteuliwa Oktoba mosi 2023 kuwa Katibu wa UWT taifa, leo ametenguliwa na kuteuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM. Je, Jokate amepwaya ktk nafsi hii kwa muda mchache kiasi hiki? Hamkumchunguza kabla ya kumteua?

Pamoja na uteuzi na utenguzi wa leo, bado nafasi ya katibu mkuu UWT taifa haijajazwa. Hivyo muda si mrefu utasikia mtu anateunguliwa halafu anateuliwa kujaza nafasi ya UWT taifa.

CCM bado kunafukuta, tutaendelea kushuhudia teuzi na tenguzi ndani chama hiki kikongwe.
Wananchi, wanachama na serikalini kwa asilimia kubwa hufuata mkumbo kama nyumbu. Hii ni changamoto kubwa na msingi wa umasikini.
Kushangilia, kusifu na kuabudu bila kuzingatia mantiki ni kawaida.
Wachache sana waliowahi kuonesha msimamo na wanastahili sifa (Nchimbi, Kimbisa, Sofia Simba na wenzao).
Hata hivyo, tunahitaji chama imara, chenye wanachama wanosimamia itikadi na sera bila kuyumba kwa ajili ya kumkomboa mtanzania, mwafrika ambaye uhuru umeendelea kuwa wa bendera zaidi na siyo kiuchumi.
 
Ipo Siku hao washamba watageuza juu chini kuhusu hii nchi , kiufupi hii vita ya mgawanyiko ndio imeanza na hakuna wa kuizima ni suala la Muda tu , washamba waombe nao nchi yao
Hawana ujanja huo. Kuna mtu kapewa peremende ndani ya kundi hilo imeandikwa dPM, atakuwa anatoa siri kwa watoto wa mjini.
 
Hawa watoto wa mjini walizidiwa 2015 hata 2025 watazidiwa maana nchi itakuwa hoi

Wao wanajua kuiba tu halafu wanachukiwa na watanzania wengi
 
Back
Top Bottom