Bad Boys 4 inakuja, Will Smith na Martin Lawrence kukutana tena

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
bad-boys-4-will-smith-1024x538.jpg

Kama wewe ni shabiki wa Filamu za Bad Boys, jiandae kwa ujio mwingine wa #BBIV. Jarida la #Variety limeripoti ujio wa Filamu hiyo na tayari iko katika utayarishaji wa awali kupitia kampuni ya Sony Pictures.

Mastaa hao wameweka wazi taarifa ya kurejea kwa mwendelezo wa filamu hiyo baada ya #WillSmith kuendesha gari hadi nyumbani kwa Lawrence ambapo wote kwa pamoja wamethibitisha ujio wa #BadBoys4.

Toleo la mwisho la filamu za Bad Boys lilitoka mwaka 2020 na kufanikiwa kuingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 996.7 kwa kuoneshwa katika majumba ya Sinema. #BadBoysIII iliwakutanisha tena Smith na Lawrence baada ya miaka 20 tangu ilipotoka Bad Boys II.

===============

Will Smith and Martin Lawrence have announced that they will reunite for a fourth installment in the Bad Boys franchise.

According to Variety, the untitled sequel is in early pre-production at Sony Pictures with Adil El Arbi and Bilall Fallah once again directing a script written by Chris Bremner.

The last installment, 2020’s Bad Boys for Life, saw Smith and Lawrence reuniting 25 years after the original Bad Boys in 1995. The movie opened at No. 1 and grossed $426.5 million at the worldwide box office.

On Tuesday, Smith and Lawrence made the official announcement in a video titled “IT’S ABOUT THAT TIME!” which finds Smith driving to Lawrence’s house while playing Nelly, P. Diddy, and Murphy Lee’s “Shake Ya Tailfeather” from the Bad Boys II soundtrack.

“It’s about that time?!” Lawrence asks while answering the door.

“It’s official. Bad Boys 4 Life,” Smith responds while holding up four fingers before realizing that they already did a Bad Boys for Life. “We shouldn’t have called it that though.”

The action franchise has spawned blockbusters including 2003’s Bad Boys II, which amassed $273 million at the global box office. The 1995 original grossed $141 million worldwide.

Smith most recently starred in Antoine Fuqua’s slavery drama Emancipation for Apple TV+, while Lawrence appeared in last year’s mystery thriller Mindcage.

RAP UP
 
Hivi ile comedy yao ya kipindi kile cha miaka ya 94 na kuendelea walikuwa wanacheza na akina Queen Latifah ilikuwa inaitwaje kweli?
 
Back
Top Bottom