Bachelor of arts in Economics

Iyo programme ni nzur ila nahic ni ngumu cna uhakika lakin
Acha upotoshaji wewe,mimi nmepiga Economics UDSM,na nilikua nishapata kazi kabla sijamaliza mitihani yangu ya mwisho (UE),mwaka wa tatu!,na nilikua sina ndugu yeyote kwenye system, Chief kupata kazi its all about plann na kujituma bila kuchagua sana kazi for the first time...
Tueleweshe kidogo kuhusu iyo economics uliyopiga
 
Nimesoma hiyo hiyo Economics ya hao kina Osoro wanaotajwa hapo juu,sasa anatokea kichwa maji mmoja anatoa povu bila kujua anachokisema,haya ndio matatizo ya kukariri kila kitu...
 
nenda kasome udsm ila jiandae kutoka na gpa ndogo..ukitaka gpa kubwa jaribu huko kwingine..but hutajuta kusoma economics maisha yako yote..utasota miez kadhaa baada ya kuhitimu ila utapata tu kazi.
 
Duh! Kaka Mkubwa nimesoma nikaanza kutetemeka duh unanishaur nisome nin ndugu yng na comb yangu hiii c ya science ni HGE na one yng nzuri 2 msaada wa ushaur bruh..
 
Nimesoma hiyo hiyo Economics ya hao kina Osoro wanaotajwa hapo juu,sasa anatokea kichwa maji mmoja anatoa povu bila kujua anachokisema,haya ndio matatizo ya kukariri kila kitu...
Bruh uchumi ulio usoma unasoko ? Ujawah kujutia kusoma icho ki2 ukataaman kusoma kitu kingne ndugu???
 
Acha upotoshaji wewe,mimi nmepiga Economics UDSM,na nilikua nishapata kazi kabla sijamaliza mitihani yangu ya mwisho (UE),mwaka wa tatu!,na nilikua sina ndugu yeyote kwenye system, Chief kupata kazi its all about plann na kujituma bila kuchagua sana kazi for the first time...
Bruh naomba email yako kuna v2 nataka unishaur kama utojali au nichek mim kwa( cycorobar@yahoo.com ) asante
 
Back
Top Bottom