bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Happy Birthday Bacha ila uache ule mchezo mkuu.....:lol::lol:
hah, ha ha ha ha ha ha ,
nashukuru Finest,
lol, asubuhi yote hii umeshaanza vijembe vyako?
Happy Birthday Bacha ila uache ule mchezo mkuu.....:lol::lol:
hepi besdei ya kuzaliwa
Happy birthday dear
hongera sana kwa kukimbilia uzee
huko ndiko kwenye busara na hekima nyingi..
usisahau wajukuu na vitukuu ukifika huko ....Amen
Thanks my dear kwa kunikumbuka,
leo najihisi kudeka deka tu lol...
Ningekupeleka ile sehemu yako unayopenda ila sasa hii Kwaresma inabidi tuhahirishehah, ha ha ha ha ha ha ,
nashukuru Finest,
lol, asubuhi yote hii umeshaanza vijembe vyako?
Happy birthday Bacha!!
Mungu akupe maisha marefu,
Akupe nguvu nyingi kama Samsoni,
Na hekima nyingi kama Suleiman.
Usiwe mchoyo bacha, tukaribishe,
Kwenye birthday!!!
Ningekupeleka ile sehemu yako unayopenda ila sasa hii Kwaresma inabidi tuhahirishe
Happy BD Bacha
Live longer
Mungu akujalie uzao mkubwa na mrefu jina lako lisififie daima
Ndo siku yako hii kwahiyo itumie vizuri!Maadam wa kukudekeza tupo tele..we deka tu mpendwa!
Hongera mkuu Bacha kwa kuzidi kulisogelea kaburi.
Birthday party wapi nikapange viti?
Kwa hiyo una mpango gani kuwa na huo uzao mkubwa na mrefu?au hutaki jina litanuke kwa kasi?Amen, Amen,Amen Marytina!!!!!
Hehehe kumbe hua nakumaliza??Lolz!Ila kweli bwana we vimba kichwa..weka miguu juu and relax!Hata ukitaka kukohoa unaita mtu wa kukupigapiga mgongoni!Lol..Hapo Lizzy ndo huwa unanimaliza kabisa,
kauli yako imenifanya nivimbe kweli bichwa lol...!
Happy birthday Bacha!!
Mungu akupe maisha marefu,
Akupe nguvu nyingi kama Samsoni,
Na hekima nyingi kama Suleiman.
Usiwe mchoyo bacha, tukaribishe,
Kwenye birthday!!!