Babu wa loliondo ametibu wagonjwa laki tano (500,000)

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano.

Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa kipindi kifupi katika historia ya dunia.
 
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano. Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa kipindi kifupi katika historia ya dunia.

hapana ni wagonjwa laki moja mkuu.
 
hapana ni wagonjwa laki moja mkuu.
<br />
<br />
imagine wagonjwa elfu ishirini na tano wanatibiwa toka serikali ilipositisha wagonjwa wapya kwenda mpaka tarehe 1 say ndani ya siku 9,inawezekana kabisa figure ya laki 5 ni sahihi.
 
hapana ni wagonjwa laki moja mkuu.

Yah ni kweli. ila inaonekana kama vile kuna kamchezo ka kumchapa Babu mkwanja. Kwamba watu waliokwama pale ni 24,000 na na wangeisha kwa wiki moja halafu tunaambiwa muda wote tangu ameanza hiyo kazi ni sh milioni 50 kwa maana ya watu laki moja ni kama inatia mashaka kidogo! Lets assume kuwa ni kweli!
 
Hivi amewatibu au amewapa dawa tu? Kuna proof ya hao laki kupona? Wengine tumeambiwa wamekufa baada ya mnywo
 
Kutokana na kutangaza kuwa Mchungaji Mwasapile wa Loliondo amekusanya shilingi milion 50, hivyo ametibu wagonjwa laki tano. Hii inaweza kuwa record ya ajabu ya tabibu kutibu watu wengi zaidi kwa kipindi kifupi katika historia ya dunia.

Uuwiiiiii!! Ama kweli Hesabu ni janga la ki-Taifa! Yaani 500,000 X 500 unapata Milioni 50? Hata hivyo huyu babu analipa kodi kweli? Huyu anapaswa kutozwa kodi, au TRA hamjaliona hilo?
 
Uuwiiiiii!! Ama kweli Hesabu ni janga la ki-Taifa! Yaani 500,000 X 500 unapata Milioni 50? Hata hivyo huyu babu analipa kodi kweli? Huyu anapaswa kutozwa kodi, au TRA hamjaliona hilo?

But 500 000 x 100 is 500 000. Kumbuka out of the 500, 400 is not his. I'm assuming his personal earnings have reached 50 000 000 is what is being implied by the information above.
 
Nilikwishasema Guiness book of records kama wako makini hapa wana cha kuingiza katika kitabu chao.
 
Back
Top Bottom