Babu + siasa

wakozuka

Member
Mar 24, 2011
29
3
Jamani nikweli kuwa babu kawasahaulisha watanzania kuhusu dowans, katiba na maandamano?
 
:bored:

Kwani kashusha bei za bidhaa na matatizo mengine tunayoyapata?


Me wala hata haijanipa relief maana gharama na ugumu wa maisha viko pale pale....kila nikilipa bili ya umeme nawakumbuka dowans, kila nikinunua sugar namuona JK..........

Ki ukweli hakuna relief kwenye tumbo langu wala ubongo wangu japo kweli kwenye magazeti mambo yamebadilika lakini sio kwenye tumbo langu wala matata mengine

By the way, sili magazeti wala siishi magazeti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom