Babu Seya: Hawa wahusika wako wapi na wanaendelea vipi hasa baada ya Babu Seya kuachiwa?

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Nimekuwa natafakari sana, na nimekuwa nasoma maandiko mbalimbali kuhusu kesi ya Babu Seya, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa.

Swali langu ni kwa hawa mashahidi waliojenga hoja kwa upande wa mashtaka, wako wapi na wanaendelea vipi?

Tanzania ni ndogo sana na jamii forums iko kila eneo.

Nawasilisja
Screenshot_20230419-122551.jpg
 
Wengi wao walikuwa ni wakazi wa Maeneo ya Sinza hapo....si unajua huyo jamaa nae alifanya hayo mambo mitaa hiyo hiyo ya Sinza.......Kama wale wa Maumba si watakuwa Mabinti wakubwa kabisa....na wajukuu....???
 
Hii kesi ina kasumba nyingi sana nilitaka kujua kama ni kweli au ni michezo tu na kwanini magu amtoe hadharan
Ukisoma mwenendo wa kesi, watoto hata kama walipangwa, kuna baadhi ya taarifa wanatoa zinafanana sana hasa wakieleza chumba walipokuwa wanafanyiwa huo uhuni.

Walipakwa mafuta kwa vaginal, anus na walipelekewa moto. Baadhi walikutwa na gonorrhea. Halafu walilazimishwa kuinyonya dushe, malipo ukipewa nyingi nimeona ni 400/- tu.

Ngumu kusema kuwa walisingiziwa
 
Hii kesi ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom