Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,143
419e84d263c2669c016f4d39c97e6881.jpg
Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja

=====

Mwanamuziki Nguza Viking maarufu (Babu Seya) leo Jumamosi Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na Bi. Desderia Haule. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki la Sinza. Bi. Desderia Haule ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga.
7edd0bb6-b615-4d73-903b-8dcabefcce1e.jpg
25ffec91-9d98-4121-8e62-fc7d3324bf30.jpg
 
Back
Top Bottom