Baba Riz anapoingia jikoni....!

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Jioni hii nimemuona baba riz akitumika kuadvertise tangazo la TRA....eti wananchi wenzangu toeni kod kwa maendeleo! Mwe! Me nimebaki na mawazo mengi, je ni ameishiwa kiasi hcho..? Hapakuwepo na watu wengne wa kuadvertiz mpaka rais? Au vile apenda uza sura? Me naona Hii ni kama baba kuingia jikoni kupika hali mke na watoto wako around tena hawaumwi wala hawana tatizo...!
 
Kwani baba kuingia jikoni na kupika ni kitu cha ajabu? tuache 'mentalities' za kizamani! Baba Riz kaza buti hivyohivyo!
 
Jioni hii nimemuona baba riz akitumika kuadvertise tangazo la TRA....eti wananchi wenzangu toeni kod kwa maendeleo! Mwe! Me nimebaki na mawazo mengi, je ni ameishiwa kiasi hcho..? Hapakuwepo na watu wengne wa kuadvertiz mpaka rais? Au vile apenda uza sura? Me naona Hii ni kama baba kuingia jikoni kupika hali mke na watoto wako around tena hawaumwi wala hawana tatizo...!

Duh! Kumbe mkuu uingii jikoni kurekebisha mambo mpaka mansap aumwe! aaah! Mapenzi hayapo hivyo bwana jaribu siku moja huku mama na watoto wanakuangalia wakisubiri
kupata ladha ya msosi unaouandaa banaaa lol.
 
Acha akiri za kitoto, kodi ni utu wa mgongo ktk pato la taifa hivyo Raisi ni kiongozi wa serikali hivyo kutoa elimu ya kodi sio ajabu, Jamani na Mwinyi naye anahamasisha kuupigia kura mlima Kilimanjaro Uwepo Ktk Maajabu ya Dunia. Hebu tuache upinzani wa kitoto na tuweke utaifa na maendeleo mbele.
 
sioni tatizo ila nadhani anapiga debe zaidi ili KUPATA PESA NYINGI ZAIDI KUONGEZA SAFARI ZAKE ZA NJE.
 
ukiona mzee kaingia kwa jiko ujue kuna mapishi spesheli anataka kuandaa
kwa muono wangu wa kiboksiboksi naona anapiga debe hela zipatikane fasta ili hazina wazigawe mapema kwenda dowans
ili malipo yafanyike fasta fasta,kumbuka lipo deni lingi za fedha za uchaguzi uliopita na uchaguzi ujao.
 
Hana lolote ni usanii mtupu. Kodi ni muhimu lakini kama mtu mwenyewe siku zote amekuwa akiwateua marafiki zake kukusanya kodi kuwalipa marafiki zake akina Dowans. Tatizo la Kikwete ni kukwepa matatizo au kuyaahirisha na kutafuta visingizio. Sasa rais kutangaza ili iweje? Si ajiunge na ze Comedy wenzake basi? Kikwete amekuwa rais wa ajabu ambaye amekuwa mwepesi kuhudhuria misiba lakini akakosa muda wa kufanya mambo muhumi kwa taifa. Huu muda anaopoteza kuzurura na kuzika angeutumia kupambana na ufisadi tungemuelewa.
 
Acha akiri za kitoto, kodi ni utu wa mgongo ktk pato la taifa hivyo Raisi ni kiongozi wa serikali hivyo kutoa elimu ya kodi sio ajabu, Jamani na Mwinyi naye anahamasisha kuupigia kura mlima Kilimanjaro Uwepo Ktk Maajabu ya Dunia. Hebu tuache upinzani wa kitoto na tuweke utaifa na maendeleo mbele.

kwani hakuna watu wengne mpaka yeye tena akawe modo wa tra kuadvertize? Amefulia bhana.
 
Duh! Kumbe mkuu uingii jikoni kurekebisha mambo mpaka mansap aumwe! aaah! Mapenzi hayapo hivyo bwana jaribu siku moja huku mama na watoto wanakuangalia wakisubiri
kupata ladha ya msosi unaouandaa banaaa lol.

For most of Africans hayo mapenzi ya hvyo yapo kidogo sana and u knw it! Hii ni kama kuwa mume *****..!
 
Mimi sioni tatizo lolote. Mbona akitumika kwenye mambo ya ukimwi, malaria hulalamiki?
 
sioni tatizo ila nadhani anapiga debe zaidi ili KUPATA PESA NYINGI ZAIDI KUONGEZA SAFARI ZAKE ZA NJE.

kwani kasitisha kwa madai pesa hazipo? umesahau kama tulishatangazia bora tule nyasi lakini uhakika wa safari uwepo
 
Jana kasema serikali itatoa shilingi millioni 497 billioni kwa maendeleo ya ukanda wa ziwa tanganyika..........nikabaki hoi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom