mkudeson
Senior Member
- Nov 24, 2011
- 104
- 16
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???