Baba mkwe hataki nihame kwake

Kwahiyo mzee uliolewa
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.

Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.

Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"

Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.

Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.

Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
 
Wewe ndo ulisema ni mwalimu wa chuo kikuu? Unasema unataka uibe kitanda?
Itakuwa amesahau kama alisema hivyo - kama yeye ni mwalimu wa chuo kikuu, ndio matatizo ya kusema uongo - ni lazima uwe na akili sana ya kukumbuka vitu unavyoongopa - ukisahau tu; unachanganya madawa.
 
Mimi nilijua Unataka utoke kwa baba mkwe ili uhamie kwako kumbe unaenda kupanga na hapo mwanzo kabla ya kuanza kulelewa na baba mkwe na mtoto wake ulikuwa umepanga sawa panga pangua nenda kapange ila kuwa makini usije ukafia kwenye nyumba za kupanga
 
Wataalam,
Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti.

Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana.

Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo Kila huduma unapata unataka kwenda wapi?"

Kawa mkali sana na amesisitiza sana nisiondoke, mpaka nimeanza kuhisi anamuogopa sana Binti yake,huenda ndo ndago yake.

Mpaka nmeanza kuunganisha matukio ya zamani, Yani Kila kitu Binti asemacho huyu mshua anafanya.

Sasa Mimi plan yangu ni kwamba mshahara ukitoka tu, mi natoroka hapa, nitaiba Kitanda na godoro tu vingine vyote ntawaachia yeye na binti yake, sitaki mchezo Mimi.
Liwalo na liwe, siogopi Cha usalama wa Taifa wala usalama wa nini kmmk.
Punguza hasra eeeeebooo tuliaaaaa nasema tuliaaaa hii ndo jf kboko ya watukutu tuliaaaa umeleta tatizo mezan subir tulifanyie kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom