Baba ashindwa kumuua mwanae

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Jamaa alioa mwanamke na kubahatika kupata mtoto mmoja. Wakati mama akimnyonyesha mtoto wake, jamaa akaona mapenzi yote yamehamia kwa mwana. Kabla mkewe hajazaa, mumewe akirudi kazini alikuwa anamjali sana. Tofauti ikatokea baada ya kuzaa

Jamaa akapata wazo la kumuua mwanae, siku moja akiwa anajiandaa kwenda kazini aliamua achukue sumu ya unga akampaka mkwewe kwenye matiti, hapo ilitokea wakati wakiwa kwenye mapenzi. Baada ya mapenzi akaenda zake kazini

Jamaa akiwa kazini, akapigiwa na mkewe huku akilia, mkewe akamwambia kuna tatizo kubwa limetokea aenda haraka. Mume akaaga kazini huku akijua ule mpango wake umetimia.

Kufika nyumbani anakuta HOUSE BOY AMEKUFA, KUULIZA AKAAMBIWA NI SUMU IMEMUUA. JAMAA AKACHANYANYIKIWA ZAIDI
 
Duh hii kali mkuu, ina maana Mama alikuwa anataka mtoto wake awe fundi viatu(kum'bemenda) maana House boy na Baba wanakula tu.
 
Back
Top Bottom