Baadhi ya wizara zifutwe

nashy

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
679
141
Nimefuatilia mwenendo wa baadhi ya wizara na mawaziri husika nimegundua kuwa baadhi ya wizara za serikali hii zaweza kufutwa, aidha baadhi ya wizara zinaweza kusimama bila manaibu mawaziri na hata nyingine zaweza kusimama na manaibu mawaziri bila mawaziri.

wizara anayoiongoza wasira haina naibu waziri, na Tyson huyu yuko Arumeru mwezi mzima nani anaendesha wizara?

hivyo basi haina umuhimu yafaa kufutwa. Wizara ya Mwandosya, tangu ateuliwe ni mgonjwa, na mambo yanaenda ofisini, hivyo basi hata pasipo naibu waziri wizara hii itakwenda tu. Hizi ni baadhi tu, waweza ongeza na orodha ya wizara zingine
 
Back
Top Bottom