Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

Jamani mimi ndie mtuhumiwa hapo juu,napenda kusisitiza kina dada tuwe na msimamo,tuachane na utoto
Pia nazidi kuomba msamaha,mpenzi yaishe,na zile picha nilizokutumia please zidelete

hhhhhaaaaaa Jenu ni ww kweli
 
Last edited by a moderator:
Kazi ipo...Inasikitisha ila ndio Hali halisi ya mapenzi ya sasa, ila tutafika tu.
 
Jamani mimi ndie mtuhumiwa hapo juu,napenda kusisitiza kina dada tuwe na msimamo,tuachane na utoto
Pia nazidi kuomba msamaha,mpenzi yaishe,na zile picha nilizokutumia please zidelete

Ha ha mtuhumiwa hajipelekagi polisi bwana acha kutuzuga
 
Hilo Ndiyo tatizo kubwa Kwa mabinti wa sasa. Na wasipojirekebisha watahamia kwenye vigodoro maana sasa Hata uchangudoa haulipi
 
Kuna wanawake sijui wanafikiria vipi maisha.

Nilikuwa na girlfriend ambaye tulidumu karibia miaka minne, tulikua tunaenda vizuri na mipango mingi, ila akaanza kubadilika alivyokaribia kumaliza chuo, akawa na visa vingi na kuanza kuwa na marafiki wa ajabu ajabu wa kiume.

Kuna siku alikuja kunitembelea wakati anaondoka nikataka nimsindikize lakini akawa anakataa, nikamwacha akaondoka lakini baada ya muda mfupi nikaelekea mwelekeo aliokwenda, nikakuta kuna gari inamsubiri ndani kunamshikaji wakaondoka.
Nikampigia simu akapinga lakini nilivyompa details za gari ilivyo akakubali lakini akajitetea ni mshikaji.

Baada ya ku-argue kidogo akazima simu akaja kunipigia kesho yake, kunipa taarifa kuwa yule ni mtu wake mpya na tuachane.

Sababu aliyotoa kipindi kile ni kwamba mimi ni MPOLE sana (mimi ni mtu mwenye introvert personality), kwa hiyo akadai amepata mtu aliyechangamka na mjanja.

Ni kama miaka mitatu na miezi nane imepita, na mimi nilitulia nikajipanga na sasa nipo mbali kidogo na bongo.

Ila sasa hivi kuna kama mwezi mmoja nashangaa mtu ambaye nilishamsahau ananitafuta kwa nguvu mno, nmekuwa nikipata msg zake whatsapp, facebook, viber, sms za kawaida na amekuwa mpaka anamtumia shangazi yake kunitafuta, imefikia mpaka sasa hivi ananitumia picha zake za utupu( enzi hizo nlikuwa namsifia ana umbo zuri).

Nimeandika huu uzi sio kuomba ushauri, maana maamuzi ninayo japo na usenior bachelor wangu sirudi nyuma, ila ni kuwambia mademu hasa wadogo ambao mpo hapa ukiwa kwenye relationship, uwe mvumilivu na uangalie mambo kwa jicho la tatu, maana unamkimbia mtu kwa sababu ni mpole hana swaga. Lakini baadae (unaona 30 inakaribia bila bila) unarudi tena kwa kujidhalilisha na kutuma picha za uchi na kujitetea ulikuwa utoto ni noma mbaya.

NB: yupo humu anisamehe nimeleta haya mambo kwa wana MMU, na hasa wakina dada kama upo na mtu na ana potential tulieni muache papara maana unaweza kutupa dhahabu huku uko bussy kuokota mawe ya chokaa. Na uamuzi wangu ndo ule sirudi kamwe sahau.


ASANTE KWA KUTUWAKILISHA KUNDI KAMA LAKO NDG YNG!!!

life expectancy ya Ku hit mwanamke ni too short ikipita anajutia!!!

Kula LIKES 1000000000000000........n. (infinitive)!!!
Umeguuuuusa!!!!
 
Kwa haya mapenzi ya stress watu watapata blood Pressure kabla ya muda wao.Vijana mwenzangu tuwekeze kwa MUNGU.(Zaburi 119:9) Tutavuka salama kwenye vikwazo vyetu.
 
Kwa haya mapenzi ya stress watu watapata blood Pressure kabla ya muda wao.Vijana mwenzangu tuwekeze kwa MUNGU.(Zaburi 119:9) Tutavuka salama kwenye vikwazo vyetu.

True God is everything and life too short bora kumwomba yeye ataonyesha njia
 
Kuna wanawake sijui
wanafikiria vipi maisha.

Nilikuwa na girlfriend ambaye tulidumu karibia miaka minne, tulikua
tunaenda vizuri na mipango mingi, ila akaanza kubadilika alivyokaribia
kumaliza chuo, akawa na visa vingi na kuanza kuwa na marafiki wa ajabu
ajabu wa kiume.

Kuna siku alikuja kunitembelea wakati anaondoka nikataka nimsindikize
lakini akawa anakataa, nikamwacha akaondoka lakini baada ya muda mfupi
nikaelekea mwelekeo aliokwenda, nikakuta kuna gari inamsubiri ndani
kunamshikaji wakaondoka.
Nikampigia simu akapinga lakini nilivyompa details za gari ilivyo
akakubali lakini akajitetea ni mshikaji.

Baada ya ku-argue kidogo akazima simu akaja kunipigia kesho yake, kunipa
taarifa kuwa yule ni mtu wake mpya na tuachane.

Sababu aliyotoa kipindi kile ni kwamba mimi ni MPOLE sana (mimi ni mtu
mwenye introvert personality), kwa hiyo akadai amepata mtu
aliyechangamka na mjanja.

Ni kama miaka mitatu na miezi nane imepita, na mimi nilitulia
nikajipanga na sasa nipo mbali kidogo na bongo.

Ila sasa hivi kuna kama mwezi mmoja nashangaa mtu ambaye nilishamsahau
ananitafuta kwa nguvu mno, nmekuwa nikipata msg zake whatsapp, facebook,
viber, sms za kawaida na amekuwa mpaka anamtumia shangazi yake
kunitafuta, imefikia mpaka sasa hivi ananitumia picha zake za utupu(
enzi hizo nlikuwa namsifia ana umbo zuri).

Nimeandika huu uzi sio kuomba ushauri, maana maamuzi ninayo japo na
usenior bachelor wangu sirudi nyuma, ila ni kuwambia mademu hasa wadogo
ambao mpo hapa ukiwa kwenye relationship, uwe mvumilivu na uangalie
mambo kwa jicho la tatu, maana unamkimbia mtu kwa sababu ni mpole hana
swaga. Lakini baadae (unaona 30 inakaribia bila bila) unarudi tena kwa
kujidhalilisha na kutuma picha za uchi na kujitetea ulikuwa utoto ni
noma mbaya.

NB: yupo humu anisamehe nimeleta haya mambo kwa wana MMU, na hasa
wakina dada kama upo na mtu na ana potential tulieni muache papara maana
unaweza kutupa dhahabu huku uko bussy kuokota mawe ya chokaa. Na uamuzi
wangu ndo ule sirudi kamwe sahau.

mmmm ebu ninongonezee wasisikie vip bado karoho kako kanampenda? saheme bas
 
Mimi ni juzi tu nimemkimbia mke alipata bwana wakapanga ndoa ya siri.nimeshtuka namwambia kantukana kshenzi nikapotea. SAA hizi anakesha kwa waganga
 
Mimi ni juzi tu nimemkimbia mke alipata bwana wakapanga ndoa ya siri.nimeshtuka namwambia kantukana kshenzi nikapotea. SAA hizi anakesha kwa waganga

Yani mkeo alipata bwana mwingine na wakapanga ndoa ya siri (ndoa yake ya pili) au?
 
Ya kwa kuwa ndoa yangu ilikuwa ni tulivu akawa anashindwa kuchakachua na jinsi ya kuwaeleza jamii yake hivyo wakaonelea wapange ndoa ya siri ili klunipoteza maboya.nikagundua nikimuuliza anakwepa mwisho akanambia kwamba anaona maisha yake hayawezi kuwa mazuri akiwa nami.ni story ndefu sana ila sorry nimechelewa kujibu kutokana na matatizo ya nje ya uwezo wangu.
 
Ya kwa kuwa ndoa yangu ilikuwa ni tulivu akawa anashindwa kuchakachua na jinsi ya kuwaeleza jamii yake hivyo wakaonelea wapange ndoa ya siri ili klunipoteza maboya.nikagundua nikimuuliza anakwepa mwisho akanambia kwamba anaona maisha yake hayawezi kuwa mazuri akiwa nami.ni story ndefu sana ila sorry nimechelewa kujibu kutokana na matatizo ya nje ya uwezo wangu.

Daah pole sana ndugu yangu. Mshukuru Mungu kwa yote, piga moyo konde uanze maisha mapya. Huyo muache aende kwa wenye hela, utampata tu atakayeridhika na Hali yako. Mungu yupo na anajua kila upitialo, amini atakushindia tu.
 
Back
Top Bottom