Tetesi: Baadhi ya viongozi kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Niwakumbushe kidogo:

Huyu jamaa alisema alikua anajaribu kugombea urais, bahati mbaya akapewa anayejaribu ili apate CV tu ya kua aliwahi kugombea urais.
Tujilaumu sisi tuliyempa hayo madaraka makubwa.

Sijui tulitaka aokote makopo ndo tumkatalie au atembee uchi.????
Hili ni fundisho kubwa sanaa.
 
HAWA WASHAMBA WAME TUHARIBIA NCHI YETU. MA CCM WEKENI MGOMBEA URAIS MWINGINE SIO MAGUFURI. HALI NI MBAYA BUT IS NOT TOO LATE.
 
Back
Top Bottom